Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KUHAKIKISHA WANAFUNZI WOTE  WANAOSTAHILI KUPATA  MIKOPO WAPATE

Written by Alex Sonna

 

NAIBU  Katibu mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk.Franklin Rwezimula,akizungumza wakati  akifungua kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)Prof. Hamis Dihenga ,akizungumza wakati  wa kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya mikopo wanafunzi wa elimu ya juu Zanzibar (ZHELB) Prof.Mohammed Hafidh Khalifa,akizungumza wakati  wa kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali  wakati  wa kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

 

MKURUGENZI  Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru ,akizungumza wakati  wa kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

   

NAIBU  Katibu mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk.Franklin Rwezimula,akiwa katika picha na washiriki mara baada ya kufungua  kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) lililofanyika leo Machi 16,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Elimu imeanza mkakati wa kutafuta vyanzo vipya vya mapato ambavyo ni endelevu ili kuwezesha wanafunzi wote wanaostahili kupata mkopo waweze kupata na kujiunga na masomo ya elimu ya juu (HESLB).

Hatua hiyo inafuatia baada ya mageuzi makubwa yaliyofanywa na serikali katika sekta ya elimu na hivyo kupelekea uwepo wa ongezeko la wanafunzi  wanaohitimu masomo na kuhitaji kujiunga na elimu ya juu.

Hayo yamesemwa leo Machi 16,2023 jijini Dodoma na Naibu Katibu mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk.Franklin Rwezimula,wakati akifungua  kongamano la kujadili namna  ya kupata vyanzo vipya vya mapato vitakavyo tumika kuhudumia wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB)

Dkt. Rwezimula amesema Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika mageuzi makubwa ya elimu ambayo yataongeza fursa kwa vijana wengi kujiunga na elimu ya juu na hivyo kuongeza uhitaji wa fedha kwa ajili ya kugharamia masomo hayo.

“ Sasa hivi tunaitegemea  Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) pekee yake, ambayo hivi sasa haikidhi mahitaji hivyo tumeamua kukutana na wadau kutoka sekta mbalimbali ili kujadili kwa pamoja na kupata vyanzo vipya ambavyo vitasaidia kusomesha watoto wetu wasiokuwa na uwezo”amesema Dk.Rwezimula

Aidha Dk.Rwezimula amesema Kongamano hilo litajadili namna bora ya kupata vyanzo hivyo vipya na kuja na maadhimio ambayo yatatoa mwelekeo wa kupata fedha ambazo zitatumika kuhudumia wenye uhitaji.

“Sasa hivi tumepata benki ya NMB, ambao tayari wametenga Sh. bilioni 200 ambapo watu wataweza kukopo kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu na riba yao ni asilimia tisa, kwahiyo bado tunahitaji kupata wadau wengine watakaohudumia watoto wengi katika vyuo vyetu”ameeleza Dk.Rwezimula

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Prof. Hamis Dihenga amesema kongamano hilo linalenga kuhakikisha wanajadili na kutathimin njia mbalimbali zitakazowezesha ugharamiaji wa elimu ya juu unakuwa na vyanzo vingi na endelevu badala ya kusubiri fungu kutoka serikalini pekee.

“Lengo letu kupitia mkutano huu ni kupata vyanzo vipya vya mapato hatuwezi kuendelea kutegemea serikali pekee yake kwakua ina mambo mengi bado zipo changamoto nyingi na idadi ya wanafunzi wenye sifa ya kupata mikopo inaongezeka kila mwaka hivyo ni lazima tujadiliane ili kutoka na majibu ya kuwa na vyanzo vipya vya mapato”amesema Prof.Dihenga

 Naye Mwenyekiti wa Bodi ya mikopo wanafunzi wa elimu ya juu Zanzibar (ZHELB) Prof.Mohammed Hafidh Khalifa,amesema kuwa hivi  sasa kuna watoto wengi nchini ambao wanahitaji kupata mikopo lakini vyanzo vinavyotegemewa ni Bodi za mikopo ya elimu ya juu za Zanzibar na Tanzania bara.

“Mkutano wetu huu leo utatusaidi kupata namna bora ya kupata vyanzo vipya vya mapato ili kila mtoto anayestahili kujiunga na masomo ya elimu ya juu ajiunge bila kuwapo na kikwazo chochote”amesema Prof. Khalifa

Awali  Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul- Razaq Badru amesema Bodi hiyo inatekeleza mageuzi makubwa ya kimfumo ya usimamizi, uendeshaji pamoja na shughuli ambazo bodi inasimamia.

“Tathimini ya kwanza ni kuangali sisi kama serikali wale tunao walipita kusoma shahada wanazozisoma kama zinaendana na soko la ajira, tathimini nyingine ni kuangalia namna gani ya kupata vyanzo vipya kwa ajili ya kulipia watoto kwa mwaka huu tuu serikali imetoa Sh. bilioni 654 kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu”amesema Bw.Badru

About the author

Alex Sonna