Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

MSISAFISHE MASIKIO KWA PAMBA, SIKIO HUJISAFISHA LENYEWE: DKT. BAZILIO

Written by Alex Sonna
Daktari Bingwa wa Pua,Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Tumbi Dkt. Jane Bazilio akimhudumia mmoja wa wananchi wa Tabora waliofika kupata huduma za kibingwa kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete.
Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Temeke Dkt. Annamary Stanislaus na Daktari bingwa Mathew Yinza wa Tumbi wakitayarisha kifaa tayari kwa kuwahudimia wananchi
 
Dkt. Mathew Yinza kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Tumbi akimhudumia mtoto aliyefika kupata hudum a za kibingwa.imeelezwa kwamba wananchi kuacha kujinununia dawa za macho bila ya kupata ushauri wa daktari.
Dkt. Annamary Stanislaus akitoa huduma kwa wananchi wa Tabora ambapo amewashauri mtu anapopata shida ya kutokuona vizuri ni vyema kuwahi hospitali  aangaliwe na sio kila shida ya kutokuona inatibiwa na miwani
Wananchi wa Mkoa wa Tabora wakiwa wanasubiri kuonana na madaktari bingwa waliopo hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete wakitoa huduma za kibingwa kwa siku tano.
Na. Catherine Sungura, Tabora
Wananchi wameshauriwa kutoingiza  maji kwenye masikio wakati wa kuoga pia kutosafisha masikio yao kwa kutumia pamba za masikio kwani kwa kawaida sikio hujisafisha lenyewe.
Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio, Dkt. Jane Bazilio kutoka Hospitali ya rufaa ya Mkoa-Tumbi wakati wa kambi ya huduma za kibingwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete.
Dkt. Bazilio amesema kwamba kwa kawaida sikio huwa linajisafisha lenyewe hivyo mtu anapotumia pamba anakuwa anatoa nta iliyoko kwenye sikio ambayo kazi yake ni kulilinda sikio.
“Katika kambi hii tumewaona wagonjwa wengi wenye matatizo ya masikio na pua, wananchi wengi wanafikiri ile nta ni uchafu kutokana na rangi yake ile ya kahawia (brown) na kusema wanatoa uchafu ile sio uchafu ina kazi yake ya kulinda sikio, nta ile msiitoe ina utaratibu wake wa kutoka kwenye sikio”. Alisisitiza Dkt. Bazilio.
Aidha, amesema wagonjwa wengi waliowaona katika kambi hiyo wanakuwa na shida ya Fangasi masikioni ambayo husababishwa na unyevunyevu kwenye masikio na kuwataka wananchi wanapokuwa wanaoga wasiingize maji kwenye masikio yao. 
Hata hivyo amewashauri wazazi na walezi kuwakataza watoto wasichezee vitu vigeni kama vile vigorori kwani wameona watoto wameweka vitu hivyo kwenye pua na masikioni pia  kuacha kuwasafisha watoto wadogo kwa pamba kwani wanaposafisha nta ile inaweza kuingia kwenye sikio na kusababisha kuziba kwa sikio na hata kwa watu wazima pia.
Naye, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Temeke Dkt. Annamary Stanislaus amewataka wananchi kuacha mara moja tabia ya kujinunulia dawa za kutibu macho bila ya kuonana na madakatari kwa ushauri zaidi.
Amesema kuwa matatizo ya macho yako mengi hivyo sio vizuri mtu anapopata shida ya macho kujitibia mwenyewe kwani mara nyingi huwezi kujua kitu gani unaumwa.
“Kuna watu wanapata shida ya macho na wanaenda kujinunulia dawa na kuweka kwenye macho, matokeo yake wanaharibu zaidi kumbe wananunua dawa ambazo zinaharibu macho na hadi wanapofika hospitalini  macho yameshaharibika”.
Kuhusu mtoto wa Jicho Dkt. Annamary  amewatoa hofu wananchi wenye matatizo ya uoni unaotokana na mtoto wa jicho kutokuogopa na kuondoa imani ya kwamba ukifanyiwa upasuaji hatoona tena bali mtoto wa jicho ni mojawapo wa upofu unaotibika.
Zaidi ya Madaktari Bingwa ishirini kutoka hospitali za rufaa za mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Dodoma wapo Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi wa mkoa huo kwa huduma za kibingwa kwa  magonjwa ya upasuaji,  mfumo wa mkojo, pua, koo na masikio, kinywa na meno,  macho, mifupa, magonjwa ya kinamama na uzazi , magonjwa ya watoto pamoja na  magonjwa ya tiba (kisukari, moyo, presha, vidonda vya tumbo na mengineyo) ambapo huduma hizo zinatarajiwa kumalizika siku ya ijumaa wiki hii.

About the author

Alex Sonna