Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MWANDISHI WA CHANNEL TEN ABDULAZIZ AHMED

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki  mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdülaziz Ahmed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi  Lindi mjini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Sada Limbenga, mjane wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmed, nyumbani kwa marehemu Lindi mjini ambako pia alishiriki kwenye mazishi ya mwanadishi huyo ikwenye makaburi ya Mitandi, Mach 14, 2023. Katikati ni shangazi wa mke wa marehemu, Bibi Ndindi Binti Abdulaziz.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki  mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Abdülaziz Ahmed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi  Lindi mjini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Abdulaziz Ahmed, aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten kabla ya kushiriki mazishi ya mwandishi huyo kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten,  Abdulaziz Ahmed na baadaye kushiriki  mazishi ya mwandishi huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mitandi mjini Lindi, Machi 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor