Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA YAANZA UPASUAJI-KITETE

Written by Alex Sonna
Madaktari Bingwa wa Masikio,Koo na Pua wakifanya upasuaji kwenye kambi ya siku tano inayoendelea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete
Kiongozi wa Madaktari Bingwa ambaye pia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Tumbi Dkt. Amani Malima akiongea kuhusu huduma za upasuaji na matibabu yanayofanyika katika kambi hiyo
Baadhi ya wakazi wa Tabora wakisubiri huduma za matibabu kutoka kwa Madaktari Bingwa katika idara mbalimbali
Wataaamu wakijiandaa na upasuaji katika kambi ya Madaktari Bingwa inayoendelea katika hospitali ya rufaa ya Kitete Mkoani Tabora
Madaktari bingwa kutoka hospitali za rufaa za mikoa ya Dar es Salaam,Pwani na Dodoma wakifanya upasuaji kwa wagonjwa waliofika kupata matibabu katika kambi ya siku tano Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete
Na. Catherine Sungura-Tabora
Kambi maalumu ya Madaktari Bingwa kutoka Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Dodoma imeanza kufanya upasuaji kwa wagonjwa waliokutwa na uhitaji wa huduma hiyo katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete.
Hayo yamesemwa leo na Kiongozi wa Madakatri hao ambaye pia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Tumbi Dkt. Amani Malima ambapo zoezi hilo limeanza siku ya jumatatu na litadumu kwa siku tano. 
Amesema kuwa kwa siku ya kwanza walianza kuwaona wagonjwa na kuweza kuwachambua na kwa wale waliohitaji upasuaji, wameanza huduma hiyo toka siku ya jumanne  katika idara ya Mifupa, Masikio, Pua na Koo pamoja na matumbo.
“Jana tulifanya upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya Masikio, Koo na Pua pamoja na matumbo, kwahiyo leo tunaendelea  kwa upande wa idara Mifupa hususani kwa  watoto wenye matatizo ya mifupa ambayo wamezaliwa nayo, pia kuna watu waliopata ajali lakini wamekuwa na ulemavu ambao unaweza kurekebishika hivyo tupo hapa kwa nia ya kuwasahihisha”. Aliongeza Dkt. Malima.
Aidha, Dkt. Malima amesema lengo kubwa  la kambi hiyo ni kutoa huduma za matibabu ya kibingwa wa wananchi wa mkoa wa Tabora na kuwapunguzia  gharama za kuzifuata huduma hizo nje ya mkoa kwani wananchi wengi wamekuwa wakifuata huduma  Dar es salaam, Mwanza, Kilimanjaro na Dodoma.
“Serikali yetu kupitia kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekua ikifanya vizuri na mambo makubwa katika sekta ya afya, hivi sasa kuna maboresho ya miundombinu yakiwemo majengo na ununuzi wa vifaa tiba hivyo tumewaleta madaktari mabingwa hawa ili kuweza kutoa huduma hizi kwa fani mbalimbali.
“Sisi kama wataalamu wa hospitali za rufaa za mikoa tumeona ni vyema kujiongeza licha ya  kuwapunguzia gharama watanzania wa kuzifuata huduma hizi nje ya Tabora lakini tutawajengea pia uwezo wataalamu wa hospitali hii ili kuhakikisha wananchi wa hapa wanaendelea kupata huduma kama hizi, hivyo tumeuda kikundi cha madaktari bingwa kutoka fani mbalimbali zaidi ya ishirini”.
Hata hivyo Dkt. Malima amesema kuwa kutokana na uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya uliofanyika kuanzia ngazi ya Zahanati, Vituo vya Afya, hospitali za wilaya na hospitali za rufaa za mikoa, hivyo amewataka wananchi kuhakikisha wanafika kupata huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na si kwingineko.
Dkt. Malima pia amewaomba wafanyabiashara, makampuni na watu wenye uwezo wajitokeze  kusapoti huduma kama hizo kwenye maeneo yao waliyozaliwa ili kuweza kuwasaidia wananchi katika huduma za afya.
Naye, Mkazi wa Uyui Bi.Christina Lukwiza ambaye amemleta mtoto wake anayesumbuliwa na tatizo la kupumua kwa miaka minne sasa amesema alifurahi mara baada ya kusikia kuna madaktari bingwa kwenye hospitali ya Kitete.
“Nimeshazunguka kwenye hospitali mbalimbali na kuambiwa mwanangu ana vinyama kwenye pua na tumekuwa tukipewa dawa na kuzitumia ila tatizo halijaisha na hivyo kusababisha mahudhurio hafifu shuleni na wakati mwingine tunashindwa kumpeleka hospitali nyingine kwani hatuna uwezo wa kifedha”amesema Bi. Christina
Ameongeza kuwa amekimbilia hospitalini hapa kwakuwa hakuna gharama za kumuona daktari bingwa pia hata huduma zingine ni kuchangia kidogo.
“Nimekimbilia hapa ili mwanangu aonane na madaktari bingwa, kwani nilikua nawaza sana lini mwanangu ataonana na madakari bingwa, kwakweli ujio wao umenifurahisha sana kwani najua watatusaidia hasa sisi wenye kipato kidogo”.

About the author

Alex Sonna