Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

WANANCHI WA TABORA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWASOGEZEA HUDUMA ZA KIBINGWA

Written by Alex Sonna
Daktari wa Masikio,Pua na Koo Dkt. Proscovia Mugyabuso kutoka Muhimbili-Mloganzila akimfanyia uchunguzi wa masikio mmoka wa watoto waliofika kupatiwa huduma za kibingwa katika kambi hiyo.
Mkazi wa Tabora Bw. Daud Thelathini akiwa ni mmoja wa wagonjwa waliopata matibabu siku ya kwanza ya kuanza kwa huduma za kibingwa na bobezi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete na ameishukuru Serikali  kwa huduma hiyo
Baadhi ya wananchi wa Tabora wakisubiri matibabu kutoka kwa madaktari bingwa ambao wameweka kambi ya siku tano katika hospitali ya rufaa ya Kitete.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Tabora na viunga vyake wakisubiri huduma za kibingwa na bobezi.
Mkazi wa Igunga Bw. John Witson  ameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma za kibingwa na kuiomba huduma kama hizo zisogezwe nchi nzima
**************************
-Wagonjwa 3000 kufikiwa na huduma za kibingwa 
Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora
Wakazi wa Tabora na viunga vyake wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya afya kwa kuwasogezea huduma za Kibingwa na Ubingwa Bobezi  kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete na hivyo kuwapunguzia gharama za matibabu endapo wangepata rufaa ya kuzifuata huduma hizo nje ya mkoa huo na ukizingatia wengine ni wazee na hali zao za maisha ni ngumu.
Wakiongea kwa wakati tofauti, Wakazi hao ambao wamefika kupatiwa matibabu ya kibingwa ambazo zimeanza kutolewa  jana kwa muda wa siku tano(5) na Madaktari Bingwa wapatao 21 kutoka hospitali za rufaa za mikoa ya Dare es Salaam, Pwani na Dodoma  kwa fani mbalimbali.
Bw. Daud Thelathini ambaye ni Mkazi wa  kata ya Kitete ambaye alifika jana na kuonana na madaktari hao na kufanya baadhi ya vipimo na hivyo anasubiri upasuaji amesema, anashukuru kwa ujio wa madaktari hao bingwa na ameridhika na huduma zao na ushauri wao. 
“Nashukuru sana madaktari wanakusikiliza vizuri na wanakupa ushauri kama tunavyojua ugonjwa hauna hodi na unaweza kuupata wakati wowote, kwa matatizo yetu wengine tungepata rufaa kwenda nje ya mkoa ingekua tabu kwani lazima ungegharamika hivyo kwa ujio huu nimeweza kupata huduma hizo hapahapa” Amesema Bw. Thelathini
Hata hivyo amesema huduma ya kumuona daktari bingwa ni bure na vipimo unachangia kidogo tofauti na huduma zinazotolewa siku za kawaida kwahiyo hata kama mtu ana uwezo mdogo inamrahisishia kupata huduma za kibingwa bila shida. 
“Nampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu kwa uongozi wake na usimamizi kwa huduma za afya kwani hivi sasa hospitali yetu ina majengo mazuri, tunaomba huduma hizi zingetolewa mara mbili kwa mwaka ili wnanchi wengi zaidi wasaidike”.Aliongeza
Naye, Mwalimu Thea  Temba  Mkazi wa Urambo amesema anaishukuru Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwa juhudi zake za kusogeza huduma za afya karibu na wananchi  pamoja na  kuboresha huduma hizo katika hospitali ya rufaa ya Kitete.
“Tunashukuru Mungu kwani wengine tumeshatibiwa,nilikuwa nasumbuliwa na masikio nimeonana na madaktari bingwa hili ni jambo zuri nashukuru kwani kwa miaka minne sijaja kutibiwa hapa, unapopata  huduma za madaktari bingwa unashukuru , sasa hivi magonjwa ni mengi sana, tunaomba waendelee kuja mara kwa mara  ili kila mwananchi hasa wanaotoka vijijini wafike kupatiwa huduma hizi” Amesema Mwalimu Thea Temba.
Bw. John Witson, Mkazi wa Igunga ameipongeza Serikali kwa kuwasogezea huduma hizo na kuomba huduma kama hizo zisogezwe nchi nzima ili kila mwananchi aweze kutibiwa na madakatri bingwa.
“Serikali iendelee na mfumo huu wa kutusogelea ili kila mwananchi apate huduma hizo karibu na makazi yeke kwani kuzifuata huduma nje ya mkoa ilikua ikitugharimu sana, nampongeza kwakweli Rais wetu Dkt. Samia Suluhu kwa maboresho ya huduma za afya nchini.
Wakati huo huo Mratibu wa Huduma za hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Kitete Dkt. Nassib Msuya amesema kambi hiyo ya madaktari bingwa na bobezi inaendela vizuri na toka jana takribani wagonjwa 600 wameonwa na madaktari hao na wanatarajia kuanza huduma za upasuaji wa wagonjwa wanaotakiwa huduma hiyo.
Dkt. Msuya amesema kutopatikana kwa baadhi ya huduma za kibingwa na bobezi kwa baadhi ya fani hivyo wamekuwa inawaradhimu kuwapatia rufaa wagonjwa wao kwenda kutibiwa nje ya mkoa hivyo ujio wa madaktari hao itawasaidia wananchi wengi ambao wengine walikuwa wanashindwa kusafiri kutokana na changamoto za kifedha.
“Tunamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho ya huduma za afya kwani kwa ujio huu wagonjwa wetu wanapata huduma zote za vipimo hapa hapa”.
Amesema kuwa hata madakatari hao wakiondoka huduma nyingine zitaendelea kutolewa kwani madakari wapo pia wanajengewa uwezo wa kuweza kutoa huduma hizo kwenye hospitali hiyo. 
Huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora-Kitete inatarajia kuwaona wagonjwa zaidi ya elfu tatu na zimeanza kutolewa tarehe 13 hadi 17 mwezi huu kwa ufadhili wa kampuni ya Master Card na imewajumuisha madakarri bingwa na bobezi kutoka  hospitali za rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam, Pwani na Dodoma.

About the author

Alex Sonna