Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA NAIBU SPIKA UKRAINE

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Naibu Spika wa Bunge la Ukraine Mhe. Oleksandr Korniyenko, wakati wa mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Exhibition World Bahrain Nchini Bahrain leo Machi 14, 2023.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor