Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kimataifa

MAMENEJA WA SACCOS WATAKIWA KUHAKIKISHA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA KUNAKUWA NA HATI SAFI

Written by Alex Sonna

 

NAIBU  Mrajis wa Vyama vya Ushirika – Udhibiti Bw. Collins Nyakunga,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania kilichofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

Mrajis Msaidizi wa Vyama vya kifedha kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Josephat Kisamalala, akiwasilisha taarifa ya Usimamizi na Uendeshaji wa SACCOS wakati wa Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania kilichofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu  Mrajis wa Vyama vya Ushirika – Udhibiti Bw. Collins Nyakunga (hayupo pichani) ,wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania ulioanza  leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

MTENDAJI Mkuu Sccult (1992) Ltd Bw.Hassani Mnyone,akizungumza wakati wa Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania ulioanza  leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

KAIMU Msaidizi Mkoa wa Dodoma Octavian Bidyanguze,akitoa salamu za Mkoa kwa washiriki wa Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania ulioanza  leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Jukwaa Bosco Simba,akitoa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki mara baada ya Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika – Udhibiti Bw. Collins Nyakunga,wakati akifungua Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania kilichofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

Mrajis wa Vyama vya Ushirika – Udhibiti Bw. Collins Nyakunga,akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki mara baada ya kufungua Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania uliofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

Mrajis wa Vyama vya Ushirika – Udhibiti Bw. Collins Nyakunga,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua  Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania uliofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

MENEJA Mkuu Bandarini Saccos Ltd Bw.Godfrey Rwehumbiza ,akizungumza na waandishi wa habari  wakati wa Mkutano wa Nne wa Meneja wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania kilichofanyika leo Machi 14,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

MAMENEJA 126  wa Vyama vya Ushirika wa akiba na mikopo (SACCOS) wamejifungia kwa siku nne Jijini Dodoma kujadiliana namna bora ya kuvisimamia  vyama vya ushirika na kuhakikisha wanaondoa hati chafu.

Akizungumza katika mkutano mkuu wa nne (4) wa Maneja hao  uliofanyika leo Machi 14,2023,Jijini hapa,Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Udhibiti,Collins Nyakunga amesema nia ya jukwaa hilo ni kukumbushana,kubadilishana uzoefu, majukumu na  namna bora ya  kusimamia vyama vya ushirika.

“Tumeanza leo  tutakaa kwa siku nne na tutabadilisha uzoefu namna kusimamia vyama vya ushirika na jinsi ya kufanya  kwa kuzingatia weledi pamoja na  kuzingatia maelekezo.

“Tunawakumbusha wajibu wao wa kila siku kuhakikisha wanatekeleza malengo yaliyokusudiwa na wanachama pamoja na kuhakikisha wanapata hati safi pamoja na kuzishauri vizuri bodi,”amesema

Aidha,Bw.Nyakunga  amesema wapo mbioni kuanzisha benki ya ushirika  na hivi karibuni watakutana kujadiliana namna bora ya kuweza kupata fedha.

Amesema mara baada ya sheria ndogo ya fedha kupitishwa  hali ya vyama vya ushirika imezidi kuboreka huku akiishukuru  serikali ya awamu ya sita kwa  kuzidi kuwekeza   kwenye mifumo ya tehama.

“Tunaona mabadiliko ni makubwa mameneja  wanahamasika kusimamia hivi vyama lakini sasa hivi mambo yapo vizuri na tehema inasaidia ufanyaji kazi,kila kitu tunakiona na kila kinachofanyika tunakiona”amesema Nyakunga

Hata hivyo, ameiomba Serikali iendelee kuwaamini na wao wataendelea kusimamia mifumo kuhakikisha vyama vya ushirika vinaendelea kuiletea nchi maendeleo.

Kwa upande wake,Mrajis Msaidizi Vyama vya Ushirika wa kifedha kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TPDC) Joseph Kisamalala amewaomba mameneja kutumia mkutano huo kujadiliana changamoto mbalimbali ambazo zipo katika saccos. 

“Niwapongeza  tulivyoanza ilikuwa changamoto lakini sasa hivi sekta imekuwa tunaendelea  kuwa imara zaidi na kuwa bora zaidi,”amesema Kisamalala.

Naye,Meneja Mkuu wa  Bandarini Saccos Ltd,Godfrey Rwehumbiza amesema zaidi ya watu milioni 2 wameweza kupata huduma za kifedha kupitia Saccos mbalimbali.

“Niendelee kutoa wito Saccos nyingi kujitokeza na kuachana na changamoto kama zipo.Sisi kama Saccos tunashiriki kuhakikisha tunafikisha huduma na kutoa elimu wezeshi ili wananchi waweze kukopa,”amesema Rwehumbiza

Rwehumbiza amesema Mameneja wamebeba dira kuhakikisha mazuri yaliyopo katika saccos yanatajwa na kusemwa kuliko yale mabaya ambayo yamekuwa yakipaziwa sauti.

“Tunaona kwamba ni kitu kikubwa tunafanya katika jamii na sisi tutaendelea kuhamaisha ili waweze kupata manufaa, wito saccos nyingi zijitokeze ili kurahisha mchakato wa kujadili kuhusu maisha ya watanzania,”amesema 

About the author

Alex Sonna