Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WANAFUNZI WA KIKE 96 WA SHULE ZA SEKONDARI KUPATIWA MAFUNZO YA TEHAMA DIT

Written by Alex Sonna

Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam Taaluma (DIT), Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Masige Amri akifungua Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika  katika  Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini  Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Kituo cha Umahili wa Tehama DIT, Dkt.Petro Pesha akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika  katika  Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini  Dar es Salaam. Bw.Alexius Revocatus Kagunze kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika  katika  Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini  Dar es Salaam.  Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bw.Abraham Mangesho akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika katika Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini  Dar es Salaam.   Badhi ya wanafunzi wa Kidato cha tatu Shule za Sekondari nchini wakiwa  katika ufunguzi wa Mafunzo ya Siku Tano ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike, Mafunzo  ambayo yanafanyika katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Jijini Dar es Salaam.

******** 

NA MWANDISHI WETU

TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imefungua Mafunzo ya Siku Tano (5) ya TEHAMA kwa wanafunzi 96 wa kike wa kidato cha tatu shule za Sekondari nchini ambapo yanafanyika  katika  Ukumbi wa DIT kuanzia leo Jijini  Dar es Salaam.

Mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) yamefunguliwa na Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam Taaluma (DIT), Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Masige Amri kwa niaba ya Mkuu wa Taasisi hiyo.

Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mafunzo hayo leo Machi 13,2023, Prof.Amri amepongeza juhudi kubwa iliyofanyika katika kuhakikisha mafunzo yanatolewa kwa mabinti wa shule za sekondari yatakwenda vizuri na kupata mrejesho mzuri kutoka kwa wahusika wa mafunzo hayo.

Prof.Amri ameushukuru mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuona umuhimu wa TEHAMA kwa vijana hasa jinsia ya kike kwa kuwa vijana wa kike siyo wengi kwani wanaogopa masomo ya sayansi hivyo mafunzo haya yatakuwa chachu ambayo itasaidia kuleta uwiano sawa na ule wa vijana wa kiume.

Aidha amewaeleza wanafunzi umuhimu wa TEHAMA kwa kipindi hiki ya kwamba “Katika dunia ya sasa hakuna jambo linaloleta mapinduzi ya haraka kama TEHAMA na sasa hivi tupo kwenye Mapinduzi ya nne ya viwanda hii inapelekea mahitaji makubwa ya Teknolojia”.

..” niwaambie tu kuwa mawasiliano mengi sasa hivi yanatumia Tehama, kadhalika viwanda vinahitaji mifumo inayojiendesha yenyewe ikisaidiwa na Tehama kwa hiyo wataalam katika sekta hii wanahitajika hivyo hii ni fursa ya pekee kwenu” amesema Prof.Amri

Sambamba na hilo Prof. Amri ameeleza kuwa nchi yetu inatambua umuhimu wa kuandaa wataalam wa Tehama katika nyanja mbalimbali na ndiyo sababu kubwa ya Ofisi ya Rais TAMISEM kwa kushirikiana na UCSAF wameweza kushirikiana na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) katika kuhakikisha wanawapatieni ninyi mafunzo yatakayowasaidia ili muwe chachu kwa vijana wengine wa kike.

Kwa upande wake Bw.Alexius Revocatus Kagunze kutoka Ofisi ya Rais TAMISEM amewasisitiza wanafunzi kutumia fursa hii vizuri kwani dunia ya sasa bila Tehama itakuwa vigumu kushindana ndani na nje ya nchi.

Alexius amesema “Niwaombe vijana wote mliopata nafasi ya kufika DIT kwa ajili ya mafunzo kuwa makini katika kusikiliza na kuuliza maswali, niwaambie tu kuwa dunia ya sasa ni ya Teknolojia na hiyo ndio itakayotusaidia ili tuweze kushindana kimataifa na dunia nzima na bila hiyo sisi kama nchi tutabaki nyuma na kutegemea wataalam kutoka nje ya nchi sisi kama Serikali tunaahidi kuwa tupo nyuma yenu kama walezi na wazazi kuhakikisha mnapata mafunzo yatakayowapatia ninyi utalaam”.

Akizungumza kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Abraham Mangesho amesema kuwa mfuko unajitahidi kufadhili mafunzo haya ya Tehama ili kujenga uelewa kwa wasichana na kuwapa hamasa ili waone kuwa wao pia wanaweza kusoma masomo ya Sayansi au Tehama kwani jinsia hii inaonekana kubaki nyuma hivyo kupitia mafunzo haya ya siku tano tunaamini chachu itakayojengwa ndani yao italeta uthubutu wa kusoma Tehama ili waweze kuwa wataalam.

About the author

Alex Sonna