Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

radissonbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

TACAIDS YAWASILISHA MAJUKUMU YAKE KWA KAMATI YA AFYA NA  UKIMWI 

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe George Simbachawene ,akizungumza na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI walipokutana TACAIDS wakati wa wasilisho la muundo na majukumu ya TACAIDS kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Ofisi za Bunge jijini Dodoma,

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe Stanslaus  Nyongo,akizungumza na wajumbe pamoja na watendaji wa TACAIDS na Ofisi ya Waziri Mkuu waliohdhuria kikao cha kamati hiyo walipokutana leo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Leonard Maboko, akiwasilisha Muundo, na Majukumu ya TACAIDS kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakati wa kikao kilichfanyika leo jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene na Katibu Mkuu Dkt Yonaz Jimmy wakimsikiliza Dkt Leonard Maboko Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS alipokuwa anawasilisha Muundo na Majukumu kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, leo jijini Dodoma

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI  Mhe. Seif Salum Seif ,akichangia wakati wa kikao cha kamati hiyo na TACAIDS kuhusu kubadilisha jumbe zinazotumika kwenye vibao vya ujenzi vinavyotumia maneno ya Unayanyapaa.

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya  na masuala ya UKIMWI Mhe Hassan Mtega akichangia wakati wa kikao cha Kamati hiyo umuhimu wa TACAIDS kufatilia utekelezaji wa majukumu ya kamati za UKIMWI za ngazi za chini.

Na.Mwandishi Wetu-DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe.George Simbachawene amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kutoa ushirikiano unaostahiki kwa kamati ya Afya na masuala ya UKIMWI kutekeleza majukumu kwa kufuata miongozo,maoni na ushauri mnaoutolewa na kamati hiyo.

Kauli hiyo amaitoa leo tarehe 12Machi ,2023 baada ya Tume ya kudhibiti UKMWI Tanzania (TACAIDS) kuwasilisha  Taarifa kuhusu muundo na majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Awali akiwasilisha taarifa hiyo Mkurugenzi mtendaji wa TACAIDS Dkt. Leonard Maboko amesema TACAIDS ni Idara inayojitegemea chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na imeanzishwa kwa mujibu wa sheria Na.22 ya mwaka 2001 na Marekebisho yake Na.6 ya mwaka 2015, sheria hiyo ni kwaajili ya Tanzania bara pekee. Zanzibar ipo Tume ya UKIMWI Zanzibar (ZAC).

Dkt. Maboko ameyataja majukumu ya TACAIDS kuwa ni kuandaa sera na miongozo kwa ajili ya mwitikio wa UKIMWI nchini pamoja na kusimamia athari zake, kisimamia mpango mkakati kwa ajili ya mipango ya programu za UKIMWI pamoja na masuala mtambuka yahusuyo virus vya UKIMWI na UKIMWI.

Kujenga mahusiano ya kitaifa na kimataifa kwa watu wote wa UKIMWI kwa kufanya uratibu wa masuala ya UKIMWI,kutafuta raslimali fedha ,kuzigawa na kuzifuattilia katika programu za Mwitikio wa UKIMWI,kusambaza taarifa kuhusu UKIMWI na madhara yake na kwa programu kwa kuzuia na kudhibiti.

Kukuza tafiti ,upashanaji taarifa na kutunza kumbukumbu zinazohusiana na udhibiti wa UKIMWI nchini,kukuza uraghibishi na utoaji wa elimu kwa angazi ya juu kuhusu kuhusu kuzuia na kudhibiti UKIMWI, kufuatilia na kutathimini shughuli zote za UKIMWI zinazotekelezwa nchini.

Aidha ameongeza kuwa shughuli nyingine ni Kuratibu shughuli zote za UKIMWI na kuzisimamia kwa mujibu wa mkakati wa Taifa wa UKIMWI,kwa kushirikiana na sekta binafsi husika kuwezesha juhudi za upatikanaji wa tiba na kuhamasisha upatikanaji wa tiba na matunzo na chanjo.

Jukumu lingine ni kuhamasisha haki na wajibu kwa watu wanaoishi na VVU ,kuhamasisha WAVIU kuishi kwa matumaini na kushauri serikali kuhusu masuala yote yanayohusu kuzuia na kudhibiti  UKIMWI ,kutambua vikwazo katika utekelezaji wa kuzuia na kudhibiti katika sera na programu ,kusimamia shughuli zote zinazohusiana na kuzuia na kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI,pamoja na kushirikiana na sekta nyingine husika,kufanya shughuli nyingine za kuzuia na kudhibiti VVU na UKIMWI.

Dkt Maboko amesema utekelezaji wa majukumu ya TACAIDS unaongozwa na sera ,sheria ,kanuni ,Mikakati na miongozo ikiwa ni pamoja na sheria ya tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania Na,22 ya mwaka 2001na marekebisho yake Na6 ya mwaka 2015,Sera ya Taifa ya UKIMWI ya mwaka 2001.

Mwongozo wa uraghibishi na mabadiliko ya tabia,Mwongozo wa VVu na UKIMWI na magonjwa sugu yasiyoabikiza, mwongozo wa kusshughulikia makundi maalum kuhusu UKIMWI kwa kushirikiana na Wizara ya Afya ,mwongozo wa jinsia na UKIMWI ,Mwongozo wa UKIMWI na haki za binadamu ,Mwongozo wa kufundishia kamati za kudhibiti UKIMWI ngazi za Halmashauri,kata na Vijiji, pamoja na Mwongozo wa kuunda kamati za kudhibiti UKIMWI kwenye Mikoa,Mwongozo wa kuunda Kamati za kudhibti UKIMWI kwenye Halmashauri. 

Mwenyekiti wa Kamati Mhe Stanslaus  Nyongo iliipongeza TACAIDS kwa kazi kubwa waliyoifanya katika kudhibiti na kupunguza maambukizi ya VVU nchini na kiagiza kuendelea kufanyia kazi ushauri na maekezo yaliyotolewa na kamati hiyo,ikiwa ni pamoja na kufanya ufatiliaji wa utekelezaji wa majukumu wa kamati za kudhibiti UKIMWI ngazi za chini.

About the author

Alex Sonna