Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA MUUNDO WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga akifungua kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakiwa katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Wajumbe wa Menejimenti na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakiwa katika kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba akifafanua hoja wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarifa kuhusu muundo, majukumu na utekelezaji wa miradi itakayokaguliwa na kamati hiyo, kikao kilichofanyika leo Machi 11, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

About the author

mzalendoeditor