MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » BALEKE APIGA HAT-TRICK,SIMBA SC IKIICHAPA MTIBWA SUGAR

Featured • Michezo

BALEKE APIGA HAT-TRICK,SIMBA SC IKIICHAPA MTIBWA SUGAR

3 years ago
by Alex Sonna
49 Views
Written by Alex Sonna

NA EMMANUEL MBATILO

KLABU ya Simba sc imefanikiwa kuondoka na alama tatu baada ya kuichakaza timu ya Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Manungu mkoani Morogoro.

Katika mchezo huo tumeshuhudia Jean Baleke akifunga mabao hayo yote matatu Hat Trick na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi huo mnono kwenye mechi hiyo.

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA VIJANA WENYE ULEMAVU – KATAMBI
RAIS SAMIA AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI

You may also like

Featured • Kitaifa

DC NYAMWESE: HALI NI SHWARI HANDENI TUENDELEE KUPIGA...

Featured • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATANO...

Featured • Kitaifa

π—ͺπ—”π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—ͺπ—”π— π—˜π—₯π—œπ——π—›π—œπ—žπ—” 𝗑𝗔 π—¨π—§π—˜π—‘π——π—”π—π—œ π—žπ—”π—­π—œ π—ͺ𝗔 π——π—žπ—§.π—¦π—”π— π—œπ—”...

Featured • Kitaifa

BILIONI 860 ZINATUMIKA UJENZI MIRADI YA DHARURA NCHINI...

Featured • Kitaifa

NM-AIST NAΒ  ESCSA ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO...

Featured • Kitaifa

MASWI AKUTANA NA WAJUMBE WA AFRIKA WA UANGALIZI WA...

About the author

Alex Sonna

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala