marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

bahiscasino

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

Featured Kitaifa

KATAMBI ATOA MAAGIZO KWA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA NCHINI MIKOPO IWAFIKIE WANANCHI

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akiangalia shughuli za uzalishajimali za kikundi cha vijana wa St. Vidicom alipofanya ziara halmashauri ya Manyoni kwa lengo la kukagua na kufuatilia uratibu wa utekelezaji wa sera na sheria za uwezeshaji vijana na Watu wenye Ulemavu kupitia mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na viongozi wa halmashauri ya Manyoni na vijana wakati wa ziara yake kukagua na kufuatilia uratibu wa utekelezaji wa sera na sheria za uwezeshaji vijana na Watu wenye Ulemavu kupitia mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akikagua kitalu nyumba (Greenhouse) alipotembelea mradi huo katika halmashauri ya Ikungi unaoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia programu ya kukuza ujuzi.

Mnufaika wa Mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba (Greenhouse), Bi. Frida Dustan (kushoto) akieleza jambo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi alipotembelea vijana hao katika halmashauri ya Singida Vijijini – Ilongelo.

Mnufaika wa mafunzo ya stadi za kazi Bw. Harry Stone wa tatu kutoka (kulia) akieleza jambo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi alipotembelea Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu – Sabasaba, Mkoani Singida ili kufuatilia utekelezaji wa mafunzo yanayotolewa kwa vijana wenye Ulemavu.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akiangalia nguo iliyoshonwa na vijana wenye Ulemavu fani ya ushonaji alipotembelea Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu – Sabasaba, Mkoani Singida. 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na vijana wenye Ulemavu alipotembelea Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu – Sabasaba, Mkoani Singida ili kufuatilia utekelezaji wa mafunzo yanayotolewa kwa vijana 108.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

Na Mwandishi Wetu, SINGIDA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amewataka Maafisa Vijana na Maafisa Maendeleo ya Jamii kote nchini kuwa na utaratibu wa kufanya ufuatiliaji katika miradi ya vijana wanufaika wa mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na serikali.

Ameeleza kuwa, mfumo huo wa ufuatiliaji utawawezesha kutambua kwa karibu miradi yenye tija ambayo vijana wamewekeza sambamba na kujua hali ya utekelezaji wa shughuli zao za kujikwamua kiuchumi na kuwaletea maendeleo.

Mhe. Katambi ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vijana katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida ya kukagua na kufuatilia uratibu wa utekelezaji wa sera na sheria za uwezeshaji vijana na watu wenye ulemavu kupitia mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, Mfuko wa Maendeleo ya Vijana na haki na stahiki za watu wenye ulemavu.

Amesema Serikali kupitia halmashauri zilizopo nchini imekuwa na wajibu wa kutenga fedha kupitia makusanyo ya mapato ya ndani ambapo mikopo ya asilimia nne kwa Vijana, asilimia nne wanawake na asilimia mbili kwa watu wenye ulemavu imekuwa ikitolewa kwa lengo la kuwawezesha kuanzisha miradi, kuendeleza shughuli zao ambazo zitatoa fursa za ajira na kuwaingizia kipato.

“Serikali ya awamu ya Sita imeendelea kuwezesha vijana kwa kuwapatia mikopo yenye riba nafuu ili wajiajiri na kuajiri vijana wenzao kupitia shughuli za kiuchumi watakazoanzisha,” amesema

Aidha, Naibu Waziri Katambi amewataka Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuangalia namna bora ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu fursa za mikopo hiyo na kuwapatia ujuzi ambao utawasaidia kuanzisha miradi yenye tija, kusimamia shughuli zao sambamba na kuwajengea mbinu za kukuza biashara.

Pia, amehamasisha halmashauri kuwa na utaratibu wa kukopesha tena vikundi vya vijana, wanawake na wenye ulemavu ambavyo vinarejesha mikopo hiyo kwa wakati.

Vile vile, amesema katika kuimarisha uwezeshaji wa vijana kiuchumi kupitia shughuli za uzalishaji mali Ofisi ya Waziri Mkuu imeendelea kusimamia na kuhakikisha kila halmashauri inatenga maeneo kwa ajili ya vijana kufanya shughuli zao kiuchumi.

Naye, Mnufaika wa kikundi cha Chapa Kazi, Mwanahamisi ameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kwa kutambua mchango wa vijana katika kusukuma gurudumu la maendeleo, hivyo wameahidi kuchapa kazi kwa bidii na uzalendo ili waweze kurejesha mikopo hiyo kwa wakati na kuwafanya wananchi wengine waweze kunufaika na fursa hiyo.

Mara baada ya ziara hiyo ya kutembelea vikundi vya vijana vilivyonifaika na mikopo inayotolewa na halmashauri pamoja na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana katika halmashauri ya Manyoni, Ikungi na Singida Mjini, Naibu Waziri Katambi alitembelea Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu – Sabasaba, Mkoani Singida na kujionea utekelezaji wa mafunzo yanayotolewa kwa vijana 108 wenye Ulemavu. Pia alitembelea vijana wanufaika wa mafunzo ya kilimo cha Kisasa kwa kutumia teknolojia ya Kitalu Nyumba (Greenhouse) katika halmashauri ya Ikungi na Ilongelo, Mafunzo hayo yanayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia programu ya kukuza ujuzi.

About the author

Alex Sonna