Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Michezo

SERIKALI KUMLIPA MSHAHARA KOCHA WA TAIFA STARS

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Hazara Chana wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 7,2023 jijini Dodoma kuhusu Serikali kuridhia kumlipa Mshahara Kocha Mkuu wa Taifa Stairs

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) Adel Amrouche,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 7,2023 jijini Dodoma.

KATIBU Mkuu wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo ,Saidi Yakubu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 7,2023 jijini Dodoma kuhusu Serikali kuridhia kumlipa Mshahara Kocha Mkuu wa Taifa Stairs

Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wilfred Kidao ,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Machi 7,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA kuendeleza Mchezo wa Soka nchini Serikali imeridhia kumlipa mshahara wa kocha wa Timu ya Taifa Stars,Adel Amrouche  ambae ataongoza kikosi hicho katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.

Hayo yamesemwa leo Machi 7,2023 jijini Dodomana na Waziri wa Utamaduni,Sanaa na michezo, Balozi Dk. Pindi Hazara Chana wakati akizungumza na waandishi wa habari

Dk.Chana amesema kuwa Serikali inaamini Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limejiridhisha na ubora wa kocha huyo ambaye ataweza kukuza Soka la Tanzania hivyo bajeti yake itazingatiwa na Serikali

”Ukitazama wasifu wa Kocha Adel utabaini uzoefu mkubwa alionao katika bara la Afrika na pia kuandaa wataalamu wengine hivyo tumtumie vizuri na tumpe ushirikiano ili aweze kuisaidia timu yetu kufanya vizuri ndani na nje ya nchi”amesema Dk.Chana

Aidha amesema kuwa Serikali inaangalia uwezekano wa kupata wataalamu wengine katika michezo mingine pamoja na kuimarisha wanamichezo kupitia kituo cha maendeleo ya Michezo Malya kilichopo Kwimba Mkoani Mwanza.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wilfred Kidao amesema kuwa wametumia kigezo cha uzoefu katika bara la Afrika katika kufundisha mpira wa Miguu hivyo ataweza kuleta mabadiliko makubwa katika soka nchini.

Kidao amesema kuwa Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na Kaskazini.

”Amewahi kuwa Kocha Bora wa Afrika Mashariki mwaka 2013 wakati akiinoa na kuipa Kenya, Harambee Stars Ubingwa wa Cecafa Challenge pamoja na kuweka rekodi ya Harambee Stars kucheza mechi 20 bila kupoteza na kuifikisha  nusu fainali mara mbili akiwa na Burundi.”amesema Kidao

Kocha Amrouche amewahi pia kuzinoa timu za taifa za Equatorial Guinea, Botswana, Libya na Yemen kwa nyakati tofauti.

Aidha amefundisha timu mbalimbali kama  DC Motema Pembe,RC Kouba, USM Alger, alizowahi kuzichezea na MC Algiers, zote za Algeria.

Aidha, Kocha Adel ni mkufunzi wa walimu wa Pro Licence wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) akizalisha makocha wengi bora barani Afrika na ana uzoefu mkubwa katika soka la vijana, kazi aliyoifanya kwa zaidi ya miaka 10 nchini Algeria na Ubelgiji.

Naye Kocha Adel Amrouche amewataka wachezaji wa Tanzania kuona thamani ya kuichezea timu ya taifa ili waweze kuipatia heshima nchi hivyo anaomba ushirikiano kutoka kwa wadau katika kufanikisha kazi yake.

About the author

Alex Sonna