Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured

JUKWAA LA GOLDEN FASHION FESTIVAL LAZINDULIWA RASMI MKOANI GEITA

Written by Alex Sonna

Na Joel Maduka-GEITA 

Imebainika  Sanaa ya Ubunifu ni moja kati ya ajira ambazo  zikitumiwa vizuri zinaweza kuleta mchango kwa jamii kwani itasaidia vijana wengi kujiajiri na kuongeza kipato chao pamoja na cha familia.

Hayo yamebainishwa na Meneja wa SIDO Mkoani Geita Nina Nchimbi wakati akiwa ni mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Jukwaa  la GOLDEN FASHION FESTIVAL ambalo limefanyika Mkoani Geita,nia ikiwa ni kutambua  na kuibua wabunifu mbali  mbali wa Sanaa ya mavazi na mitindo kutoka mikoa ya kanda ya ziwa.

Amesema wazo la kuanzishwa kwa Jukwaa hilo litasaidia kuwaibua vijana wengi ambao wamekuwa wakijishughulisha na shughuli za ubunifu wa mitindo na mavazi lakini bado awajapata sehemu ya kuonesha shughuli zao.

“Nimpongeza Sanaa mwandaaji wa maonesho haya ya mitindo na mavazi kwani amekuja na kitu kizuri kwenye mkoa wetu wa Geita na pia tunaamini vijana wajitokeza sasa kutoa ushirikiano nia ni wao kutambulika Kimataifa na hapa nchini Kasikana ni Mbunifu wa muda mrefu ambaye ameshiriki Tuzo nyingi hivyo naamini anakwenda kutengeneza ajira mpya kwa vijana”Nina Nchimbi Meneja SIDO Geita.
 
Kwa upande wake muandaaji wa Jukwaa hilo la Sanaa ya ubunifu wa mavazi Bertha Komba alimaarufu Kasikana Collection amesema ameamua kuja na wazo la kuwepo kwa jukwaa hilo kwa lengo la kuibua vipaji vilivyopo Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
 

“Tumezoa kuona wabunifu wanapatikana majiji makubwa kama Dar na Arusha lakini sasa tunataka Nchi ijue kuwa na Kanda ya ziwa tunaweza na kunawabunifu wengi ambao bado awajapata majukwa ya kuonesha kazi zao naomba kwa wabunifu wa mavazi na mitindo kanda ya ziwa watumia jukwaa hili kwani ni mali yao”Kasikana Komba mwandaaji wa Jukwaa la Golden Fashion Festival.

About the author

Alex Sonna