Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SEKTA YA MIFUGO SMT NA SMZ ZAIMARISHA USHIRIKIANO

Written by Alex Sonna

 

KAIMU Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Dkt.Charles Mhina,akizungumza wakati wa Kikao cha Mashirikiano ya Sekta ya Mifugo kati ya  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( SMT)  na  Serikali   ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika leo Machi 3,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar, Bw.Omar Ali Amir ,,akizungumza wakati wa Kikao cha Mashirikiano ya Sekta ya Mifugo kati ya  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( SMT)  na  Serikali   ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika leo Machi 3,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Kaimu  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Dkt.Charles Mhina, wakati wa Kikao cha Mashirikiano ya Sekta ya Mifugo kati ya  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( SMT)  na  Serikali   ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika leo Machi 3,2023 jijini Dodoma.

KAIMU Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Dkt.Charles Mhina,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya Kikao cha Mashirikiano ya Sekta ya Mifugo kati ya  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( SMT)  na  Serikali   ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika leo Machi 3,2023 jijini Dodoma.

Na.Erick Mungele-DODOMA

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( SMT)  na  Serikali   ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zaimarisha ushirikiano Ili kutatua changamoto kwenye Sekta ya Mifugo ili kufikia uzalishaji wenye tija zaidi.

Akizungumza  leo Machi 3,2023 jijini Dodoma Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Dkt.Charles Mhina,wakati wa Kikao cha Mashirikiano ya Sekta ya Mifugo kati ya  SMT na SMZ.

 Dk, Mhina amesema lengo la ushirikiano huo ni kuimarisha na kuondoa vikwazo vilivyopo katika kuiendeleza sekta ya mifugo nchini.

‘’Tumekuwa tukishirikiana pia kwenye maeneo ya masoko kuona ni namna gani tunaweza tukaimarisha masoko ya bidhaa za mifugo kwa pande zote mbili. Kwa hiyo ushirikiano huu unalenga kuondoa vikwazo ambavyo vinaweza kuifanya biashara ya mifugo isikue kwa haraka ,’’ amesema Dkt. Mhina

Aidha Dkt. Mhina amesema kuwa sehemu zote za Bara na Zanzibar kuna viwanda vya kuzalisha bidhaa za mifugo ikiwemo nyama, ngozi, maziwa na bidhaa nyingine hivyo ushirikiano huo utasaidia kuimarisha sekta hiyo ya mifugo.

”Niwaombe wajumbe wajikite zaidi kujadili changamoto na kuzitafutia majibu na kisiwe kikao cha kuzalisha changamoto maana itasaidia kujua wapo saihihi au bado katika kufika malengo ya uzalishaji wa tija”amesema Dkt.Mhina

Amesema kupitia kikao hicho mkulima wa kawaida yaani mfugaji itamsaidia kupitia tafiti kumshauri kutumia mbegu gani na kuzalisha zaidi na kutumia mitambo sahihi na inayozalishwa hapa Tanzania.

Hata hivyo ameongeza  kuwa ushirikiano huo umelenga kutatua changamoto kwenye maeneo mbalimbali hususan changamoto za kikodi kwa kushauri mamlaka husika ziweze kufanya marekebisho ili kuwezesha biashara kufanyika kwa urahisi zaidi kati ya pande zote mbili za muungano.

“Lakini ushirikiano huu pia utatuwezesha kutumia fursa za pamoja kama zitakuwepo ikiwemo fursa za kusafirisha bidhaa za nyama kwenda nje ya nchi ili tuweze kuyafikia masoko hayo kwa kiasi kikubwa,’’ amefafanua Dkt. Mhina.

Aidha, alibainisha kuwa ushirikiano huo utajikita pia katika maeneo ya utafiti na mafunzo ili waweze kujifunza kila upande ni namna gani sekta zinafanya ili kuzalisha kwa tija mifugo na bidhaa zake.

‘’Pia tutajifunza ni kwa namna ganina wafugaji wa sekta binafsi wanawezeshwa kutumia fursa zilizopo kuzalisha kwa tija na kuongeza mchango wa sekta ya mifugo katika pato la taifa,’’ ameeleza

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar, Bw.Omar Ali Amir ,amesema kuwa wanatumia ushirikiano huo kujifunza tafiti mbalimbali na pia kujenga uwezo wa wataalam wao kupitia Tanzania bara kwa maana Tanzania bara wako mbele kwenye masuala mbalimbali ikiwemo uzalishaji, Masoko, na Utafiti.

‘’Sekta ya mifugo sio ya muungano, lakini ni sekta ambayo inahitaji ushirikiano, mfano wafugaji wanaposafirisha mifugo kutoka eneo moja kwenda jingine kunakuwa na changamoto za kisera ,kisheria hivyo kupitia ushirikiano huu changamoto nyingi tunaweza kuzimaliza kwa ustawi wa pande zote mbili,’’ amesema Dkt.Amir

About the author

Alex Sonna