Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MADIWANI, WATAALAMU CHEMBA WATAKIWA KUACHA MIGOGORO

Written by Alex Sonna

KATIBU  Msaidizi -Kanda ya Kati,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bi.Jasmin Awadhi Bakari,akizungumza wakati wa mafunzo kwa Madiwani,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Chemba yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Februari 16,2023 wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Chemba, Sambala Said,akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Madiwani,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Chemba yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Februari 16,2023 wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

KATIBU  Msaidizi -Kanda ya Kati,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bi.Jasmin Awadhi Bakari,akizungumza wakati wa mafunzo kwa Madiwani,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Chemba yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Februari 16,2023 wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa  mafunzo kwa Madiwani,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Chemba yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Februari 16,2023 wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

AFISA kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Modesta Mtui,akitoa mada kwa  Madiwani,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Chemba wakati wa mafunzo  yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Februari 16,2023 wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

Na.Alex Sonna-CHEMBA

MADIWANI na wataalamu katika Halmashauri ya Chemba wametakiwa kuacha migogoro na badala yake  washirikiane  katika uendaji kazi wao  ili kuwaletea maendeleo wakazi wa Halmshauri hiyo.

Hayo yameelezwa leo Februari 16,2023 wilayani Chemba  na Katibu  Msaidizi -Kanda ya Kati,Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bi.Jasmin Awadhi Bakari, wakati akifungua mafunzo kwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri hiyo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma.

Bi.Jasmin amesema kuwa katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mvutano kati ya madiwani na wataalamu katika Halmashauri mbalimbali.

“Tukaona ili tuweze kuisaidia serikali  tuwakumbushe wanatakiwa kufanya nini  tunawasisitiza  kufanya kazi kwa pamoja  wajue yanaeleweka lengo lao ni nini dira yao ni nini

“Wanatakiwa kufanya kazi kwa pamoja  ili watende kwa kuwatimizia mahitaji wananchi,wakiwa hawana maeleano itakuwa ngumu ndio maana tukaona tufanye mafunzo haya,”amesema Jasmin.

Aidha amesema mafunzo kama hayo wameyafanya pia  mkoani Singida katika  wilayani za  Itigi na Kalambo na wanaendelea na wilaya zingine.

“Tumekuja kutoa mafunzo Halmashauri Chemba ikiwa ni moja kati ya Halmashauri 15 tunazozisimamia katika Halmashauri ya Chemba lengo kubwa  ni kukumbushana na kuwakumbusha viongozi na watumishi katika uwajibikaji wa pamoja.

“Tunawajibu wa kuwasimamia  na wanafanya kazi kwa kushirikiana  kwa pamoja ili kufikia malengo kubwa ni kuwapatia maendeleo,”amesema 

Kuhusu mmomonyoko  wa maadili kwa viongozi wa kanda ya kati Kamesema kuwa amesema sio mkubwa na wamekuwa wakiwakumbusha umuhimu wa kufuata maadili katika utendaji kazi wao wa kila siku.

“Binadamu ameumbwa kukumbushwa na ni mtu wa kujisahau sasa ili kuisaidia serikali ndio maana tunatoa mafunzo ya mara kwa mara ili fedha zisiende mahakamani ziende kwenye miradi ya wananchi,”amesema Jasmin.

Kwa upande wake,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chemba, Sambala Said, amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo katika utendaji kazi wao.

Amesema kiongozi ni lazima afuate maadili ya utendaji kazi kwani yeye anamilikiwa na umma hivyo ni lazima ahakikishe anavaa vizuri pamoja na matendo yake yanakuwa mazuri.

“Ndio maana kila mwaka anatakiwa  atoe tamko la kukiri mali anazomiliki yeye na familia yake ili kumfanya kiongozi kuwa kioo cha jamii.

“Kuna baadhi wanakosa maadili na tumekuwa tukishuhudia kiongozi wa umma kutaka jambo lake, mfano kuomba rushwa ya fedha na ngono,”amesema Bw.Said

Amesema mafunzo hayo ni muhimu na yanatengeneza ramani ya kujua viongozi wa uuma anatakiwa aishi vipi na jamii inayomzunguka.

Hata hivyo ametoa wito kwa viongozi wa umma kuhakikisha wanafuata wajibu wao pamoja na kuyafanyia kazi mafunzo wanayofundishwa.

About the author

Alex Sonna