Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

KUMWALU: TASAF HAITAWAACHA HATA MKIHAMISHWA HIFADHI YA SERENGETI

Written by Alex Sonna

 

Afisa Ufuatiliaji Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wilaya ya Bunda Bw. Alex Kumwalu akizungumzza na waandishi wa habari katika mtaa wa Tamau kuhusu wanufaika hao kutokuwa na wasiwasi kuhusu upatikanaji wahuduma za TASAF katika maeneo yao mara watakayohamishiwa kupisha hifadhi ya taifa ya Serengeti.

Afisa Ufuatiliaji Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wilaya ya Bunda Bw. Alex Kumwalu akifafanua jambo wakati akizungumzza na waandishi wa habari katika mtaa wa Tamau kuhusu walengwa hao kutokuwa na wasiwasi wa upatikanaji wahuduma za TASAF katika maeneo watakayohamishiwa.

Baadhi ya wanufaika wa TASAF wakisubiri kupewa utaratibu na maofisa wa TASAF na CRDB namna watakavyofungua akaunti za kupokelea fedha zao.

Mulid Stefano Afisa wa benki ya CRDB Bunda mkoani Mara akiwapa utaratibu wanufaika wa TASAF  namna ya kufungua akaunti zao kwa ajili ya kupokea malipo.

Afisa Ufuatiliaji Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wilaya ya Bunda Bw. Alex Kumwalu akiwafafanulia jambo wanufaika wa TASAF ili kufungua akaunti zao kwa ajili ya kupokea malipo.
………………………………………………………….
 Afisa Ufuatiliaji Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wilaya ya Bunda Bw. Alex Kumwalu  amewahakikishia wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini awamu ya tatu kipindi cha pili kuwa  licha ya wanufaika hao kukumbana na kadhia ya kuhamishwa katika maeneo hayo kupisha hifadhi ya taifa ya Serengeti kutokuwa na wasiwasi kwani bado wataendelea kunufaika na mfuko huo kutokana na mkakati wa serikali uliowekwa.
“Kutokana na umuhimu wa jambo hili baada ya serikali  kulitwaa eneo la kata ya Nyatwari  ili kuja kuwa Hifadhi ya Serengeti kuna maagizo yalitoka serikalini kwamba wananchi wote wa eneo hili waweze kuhamishiwa kwenye maeneo mengine ili kuendelea na shughuli zao,”amesema Alex Kumwalu
Aidha amesema watahakikisha wanaendelea kuwasimamia kwani  huko watakakohamishiwa watatafutiwa maeneo mengine yenye huduma za TASAF kwa ajili ya kuendelea kupata fedha katika mpango huo wa TASAF  hivyo amewataka walengwa hao kuondoa wasiwasi kwakuwa huduma hiyo itaendelea kama kawaida.
Kuhusu mfumo wa Malipo ya mtandao Alex ameendelea kusema kuwa malengo yao ni kuendelea kuwahamasisha na  kuhakikisha walengwa wote wanapokea fedha zao kwa mtandao ili waweze kuzipata kwa wakati na kuondoa changamoto mbalimbali zikiwemo kuibiwa wakati wanapokabidhiwa mkononi.
“Tunaendelea kuwahamasisha walengwa wote waweze kuhamia kwenye malipo kwa njia ya mtandao na benki ndio maana tupo na watu wa CRDB kwa ajili ya kuwafungulia akaunti, ili hata wakihamia sehemu yeyote waweze kupata fedha zao kwa wakati na itakuwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti zao  au kwenye simu zao.
Awali wanufaika wa mfuko huo kutoka mtaa wa Tamau walikuwa na maoni mbalimbali huku wakiwa na mkanganyiko kutokana na kutaarifiwa na serikali kuwa wanatakiwa kuyaachia maeneo yao ili kupisha eneo hilo ambalo limetwaliwa na serikali kwa ajili ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.
Akitoa maoni yake mmoja wa walengwa wa TASAF Bi. Defrida Silla amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dkt Samia Suluh Hassan kuwasaidia ili kuendelea  kupata malipo  ya TASAF wakati watakapohamishwa katika maeneo ambayo walikuwa wakikaa awali kabla ya kuhamishwa kwenda maeneo mengine.
“Hii TASAF imetoa maelekezo  kwamba tuendelee kuchukua na tuendelee kufanya maboresho ya vikundi  vyetu ili wahakiki na wakija wajue tumeweza kufanyia kazi fedha tulizozipata na sasa ila ka sasa wakati tunahamishwa hatujui kama tutaendelea kupokea hizo fedha za TASAF,”amesema Defrida Silla
Kwa upande wake  Bi Sophia Odongo  mkazi wa Tamau amesema wakati tunapohamishwa hajui kama wataendelea kupata  hiyo fedha ya TASAF kwa sababu tukitawanyika katika maeneo mengine sina uhakika endapo utaratibu wa kunipa hii fedha utaendelea kutokana na kuwa huko nitakakoenda nitakuwa kama nimepoteza mawasiliano.
Takriban wakazi  219 wa Kata ya Nyatwari Halmashauri ya Bunda Mji Mkoa wa Mara wamehudumiwa na kunufaika na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF katika mpango wake wa kunusuru kaya masikini ili kuweza kujikwamua kiuchumi.

About the author

Alex Sonna