Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA GDM MKOANI SONGWE

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu kahawa iliyokoborewa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. 

Waziri Mkuu, Kassim Mkajaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu uoteshaji miche ya kahawa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kulia ni Afisa Uhusiano wa kiwanda, Loveness Joshua. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kahawa iliyofungashwa kwa ajili ya kuuzwa wakati alipotembelea kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe Februari 14, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Richard Mwangoka. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sampuli za kahawa wakati alipotembelea kiwanda cha kahawa cha GDM kilichopo mkoani Songwe, Februari 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Richard Mwangoka.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya asili ya  kabila la Wanyiha ya Ndili wakati alipowasili wenye kiwanda cha kahawa cha GDM kjionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kiwandani hapo, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor