Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

SHULE BORA KUNOA WALIMU WANAOFUNDISHA “KKK” RUKWA

Written by Alex Sonna

Afisa Elimu Mkoa wa Rukwa  Samson Hango akifungua mafunzo kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa huo yahusuyo uboreshaji wa ufundishaji na ujifunzaji wa darasa la awali ,la kwanza na la pili kwa maafisa elimu mkoa na wilaya yanayoratibiwa na Programu ya Shule Bora ambapo katika wilaya ya Nkasi Februari 13,2023. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo toka Taasisi ya Elimu Tanzania Mwesiga Kabigumila na kulia ni Afisa Elimu Taaluma mkoa huo Christopher Simwinga.

Mratibu wa mafunzo ya Shule Bora toka taasisi ya Elimu Tanzania Mwesiga Kabigumila akielezea lengo la mafunzo kwa walimu  wa madarasa ya awali ,la kwanza na la pili wa shule 40 za Rukwa yanayofanyika wilaya ya Nkasi kuwa ni kuwajengea uwezo wa stadi za kumudu kufundisha KKK ili kuondoa tatizo la wanafunzi kutomudu kusoma na kuandika.

Mwezeshaji wa mafunzo toka Taasisi ya Elimu Tanzania Rose Chipindula akitoa mada kwa maafisa elimu wilaya na wasimamizi wa elimu mkoa wa Rukwa kuhusu usimamizi na ufuatiliaji wa KKK kwa madarasa ya awali ,la kwanza na la pili .Mafunzo yanaratibiwa na Programu ya Shule Bora katika mji wa Namanyere Nkasi.

Sehemu ya Maafisa elimu  na wadhibiti ubora toka halmashauri nne za mkoa wa Rukwa wakiwa kwenye mafunzo yanayoratibiwa na mradi wa Shule Bora kuhusu kuboresha ujifunzaji na ufundishaji wa watoto wa madarasa ya awali  na msingi kwenye shule 40 kati ya 382 za Rukwa.
(Habari na Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa)

Na OMM Rukwa

Programu ya Serikali kupitia ya Shule Bora imedhamiria kuwezesha walimu na wasimamizi wa elimu  kubainisha  changamoto na fursa katika  ufundishaji na ujifunzaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu  (KKK) kwa madarasa ya awali,la kwanza na la pili ili kuepusha watoto kumaliza darasa la saba bila umahili .

Shule Bora ni programu ya elimu inayolenga kuinua ubora wa elimu jumuishi inayotolewa kwenye mazingira salama ya kujifunzia kwa wasichana na wavulana kwenye shule za umma nchini Tanzania na inafadhiliwa na Shirika la Misaada la Uingereza (UKAID) kutoka Serikali ya Uingereza. 

Akifungua mafunzo ya usimamizi wa ufundishaji wa KKK katika shule za msingi kwa maafisa elimu mkoa na wilaya , Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta kupitia hotuba yake iliyosomwa na Afisa Elimu Mkoa huo Samson Hango Februari 13,2023 katika mji wa Namanyere Nkasi alisema tatizo la watoto kutojua kusoma na kuandika bado lipo.

“Takwimu zinaonesha kuwa hadi Desemba 2022 zaidi ya wanafunzi 25,000 kuanzia darasa la kwanza hadi la saba hawamudu stadi za KKK kwa mkoa mzima wa Rukwa. Hali hii ni hatari kwa maendeleo ya mkoa na taifa” alisema Mchatta.

Kupitia mafunzo hayo ya siku tano walimu na maafisa elimu toka halmashauri nne za Sumbawanga Manispaa, Sumbawanga Vijijini, Nkasi na Kalambo watajengewa uwezo toka wataalam toka Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA), OR-Tamisemi ,Shule Bora na Wizara ya Elimu kuhusu namna ya kuwasaidia kupata umahiri wa ufundishaji KKK .

Kwa upande wake Mratibu wa Mafunzo hayo toka Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA) Mwesiga Kabigumila alisema tatizo la wanafunzi kutomudu stadi za KKK linachangiwa na baadhi ya walimu kukosa mbinu za ziada za kufundisha watoto wa madarasa ya awali na la kwanza .

Mwesiga alisema programu hiyo inakwenda kuwafikia walimu wa shule Arobaini (40) za mkoa wa Rukwa wanaofundisha madarasa ya awali ,la kwanza na la pili ili wapate mbinu na stadi za kwenda kusaidia wenzao  shuleni.

“Katika mafunzo haya walimu na wasimamizi wa ngazi ya halmashauri watapata mbinu mbalimbali ili kuinua  ari ya watoto kupenda shule na kumudu kufundisha madarasa makubwa katika mazingira ya sasa “ alisema Mwesiga.

Naye Mwezeshaji mafunzo toka chuo cha ualimu Nachingwea Omar Patrick alisema katika mafunzo hayo walimu watafundishwa namna bora na rahisi ya kutayarisha zana za kufundishia watoto wa awali na darasa la wkanza ili wapende kusoma .

Nao Maafisa Elimu toka Sumbawanga Manispaaa na Sumbawanga vijijini Patricia James na Mery Kaisi walisema watatumia mafunzo hayo kuwesa kusimamia kwa karibu ufundishwaji wa wanafunz wakiwemo wale wenye mahitaji maalum kwani mradi wa Shule Bora unalengo hilo pia.

Programu ya Shule Bora inayotekeleza vipaumbele vya mpango wa Taifa wa Maendeleo wa sektaya elimu (ESDP) katika mkoa wa Rukwa inatekelezwa katika halmashauri nne , shule za msingi za serikali 382 na vituo  kumi na saba (17) vya majaribio ya utayari kwa kuanza shule katika kata nane (8) za majaribio katika mwaka huu wa kwanza ambapo mradi unatarajia kufikia ukomo mwaka 2027.

About the author

Alex Sonna