Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA SONGW

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe.

default

Muonekano wa hatua ya iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songwe  ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa maabara ya hospitali ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. Kulia kwake ni Mkuu wa  Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor