Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba (kulia) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Aden Mwakyonde (kushoto) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya kikazi mkoani Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Songwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 13, 2023. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor