RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu leo 11-2-2023 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 11-2-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na Ujumbe wake baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)

Previous articleRAIS SAMIA ATETA NA VIONGOZI WA TAHLISO NA ZAHLIFE
Next articleDKT.DIMWA- ATUA PEMBA, MAELFU YA WANANCHI NA WANA CCM WAJITOKEZA KUMPOKEA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here