Featured Kitaifa

MADAKTARI WA KICHINA WATETA NA RAIS.DK. MWINYI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (wa pili kulia)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (wa nne kushoto) Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazi  Mmoja Dk.Muhidin Abdi Mahamoud 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na ujumbe wa  Madaktari wa Kichina waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng mara baada ya mazungumzo na Madaktari wa Kichina waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha leo,(kushoto) Mkurugenzi Idara ya Tiba Dk.Msafiri L.Marijani na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui. 

Baadhi ya Madakatari wa kichina wakimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani wakati alipokabidhiwa kitabu na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng  baada ya mazungumzo na Madaktari hao waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea kitabu kutoka kwa   Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng   mara baada ya mazungumzo na Madaktari wa Kichina leo waliofika  Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha .[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor