Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

DK.SWEKE:TUMEKUSANYA SH.BILIONI 4.1 KATIKA KIPINDI CHA MWEZI JULAI 2022 HADI FEBRUARI MWAKA HUU

Written by Alex Sonna

 

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu Dkt.Emmanuel Andrew Sweke,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 8,2023 jijini Dodoma wakati akielezea utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo.

WAANDISHI wa habari pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa wakimsikiliza Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu Dkt.Emmanuel Andrew Sweke, wakati akielezea utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo  leo Februari 8,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI  Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu Dkt.Emmanuel Andrew Sweke, kutoa maelezo juu ya utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo  leo Februari 8,2023 jijini Dodoma.

……………………….

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu Dkt.Emmanuel Andrew Sweke,ameeleza kuwa katika  kipindi cha mwezi Julai 2022, hadi Februari mwaka huu Mamlaka hiyo  imekusanya Sh.bilioni 4.1 ikiwa ni mapato yatokanayo na utoaji wa leseni kwa ajili ya meli za uvuvi na huduma nyingine.

Hayo ameyasema leo Februari 8,2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na  waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shuguli mbalimbali za Mamlaka hiyo.

Dk. Sweke, amesema Mamlaka hiyo ina jukumu la kutoa leseni kwa ajili ya uvuvi wa bahari kuu kwa meli za ndani na nje pamoja na kulinda,kusimamia na kuratibu shughuli zote za uvuvi wa bahari kuu.

Amesema kuwa makusanyo hayo yamevunja rekodi iliyowekwa na Mamlaka hiyo kwa kipindi cha miaka saba iliyopita.

“Makusanyo makubwa ya mwisho yalikuwa ni Sh. bilioni 4 katika kipindi cha mwaka 2015/2016 lakini yalishuka sana baada ya kuletwa kwa kanuni ambayo ilikuwa inawataka wavuvi kutoa muraba wa dora 0.4 kwa kila kilo moja ya samaki.

“Hali hii ilisababisha makusanyo kushuka sana kutokana na meli nyingi za uvuvi kukimbia na kuacha kufanya uvuvi katika nchi yetu lakini kutokana na hali hiyo tulijifungia na kuondoa kanuni hiyo na sasa matunda yanaonekana kwa kupanda kiasi cha ukusanyaji wa mapato yatokano na utoaji wa leseni za uvuvi na huduma nyingine zinazotolewa na mamlaka hii”amesema  Dk. Sweke

Aidha, amesema  kuwa katika kulinda usalama wa bahari kuu wameweka mifumo ya kulinda usalama ikiwa ni pamoja na kutumia mifumo ya kufuatilia meli ndani ya maji na kutumia doria za ndege kwa ajili ya kuangalia kinachofanyika.

“Mifumo hii tunayotumia sasa pamoja na kufanya doria kwa kutumia ndege zimesaidia sana kukomesha vitendo vya uvuvi harafu bahari kuu”amesema Dk. Sweke

Hata hivyo  amesema toka Mamlaka kuanzishwa imefanikiwa kukamata meli moja iliyokuwa na samaki tani 100 ya samaki wasiolengwa.

About the author

Alex Sonna