Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

TATHMINI SHIRIKISHI YA KIJAMII (COMMUNITY SCORE CARD) KUSAIDIA UBORESHAJI HUDUMA ZA AFYA

Written by Alex Sonna

Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt.Silas Wambura akizungumza katika kuhitimisha Mafunzo ya  Siku tano ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.

Afisa Program huduma za afya ngazi ya jamii ,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,Idara ya Kinga,Wizara ya Afya Orsolina Tolage akizungumza katika kuhitimisha Mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.

Mratibu wa Huduma za Afya katika jamii kutoka Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa [OR-TAMISEMI]Martha Mariki  akizungumza katika kuhitimisha   Mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA.

Dkt.Rebecca Mdee Mwezeshaji Kiongozi Mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA akitoa Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 5 katika chuo cha Maendeleo ya Wananchi[FDC]kwa kushirikisha Asasi za Kiraia kutoka baadhi ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza na Shinyanga ambazo ni Magu,Sengerema,Ukerewe ,Misungwi,Msalala,Kishapu na Manispa ya Shinyanga.






Baadhi ya wawakilishi kutoka Asasi za Kiraia wakiwa katika Mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA siku ya tano Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sengerema Mkoani Mwanza.

Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza,Dkt.Silas Wambura akiwa picha ya pamoja na Afisa Program huduma za afya ngazi ya jamii ,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,Idara ya Kinga,Wizara ya Afya Orsolina Tolage ,upande wa kushoto ,Mratibu wa Huduma za Afya katika jamii kutoka Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa [OR-TAMISEMI]Martha Mariki upande wa kulia akifuatiwa wakifuatiwa na wawakilishi wa Americares mwishoni upande wa kulia na kushoto pamoja na wawakilishi wengine wa Asasi za Kiraia kutoka mikoa ya Mwanza kwa halmashauri ya Magu,Sengerema,Ukerewe na Misungwi na Mkoa wa Shinyanga kwa Halmashauri  ya Msalala,Kishapu na Manispaa ya Shinyanga katika hitimisho kwa mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card) ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa  USAID UZAZI STAHA.

Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa Umma

Imeelezwa kuwa  Tathmini shirikishi ya Kijamii[Community Score Card] imekuwa mwarobaini katika kupunguza changamoto za Huduma ya Afya katika jamii na kuweza kuleta mabadiliko  chanya katika ubora wa huduma .

Hayo yamebainishwa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza na Afisa Program Huduma za Afya  ngazi ya Jamii,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma ,Idara ya Kinga ,Wizara ya Afya Orsolina Tolage katika  ufungaji  wa  Mafunzo ya Tathmini   Shirikishi ya Kijamii (Community Score Card)  kwa Asasi za Kiraia katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga ambayo ni moja ya Afua ya Ushirikishaji Jamii  yanayoratibiwa na Wizara ya Afya ,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma, Mpango wa Huduma za Afya ya Jamii kwa kushirikiana na AMERICARES Kupitia Mradi wa Usaid  Uzazi Staha.

Tolage amesema kupitia Mafunzo hayo  ,Timu za Uendeshaji  na Usimamizi Huduma za Afya za Halmashauri(CHMTs )pamoja na Asasi za Kiraia  ni muhimu kushirikisha jamii ni namna gani huduma za afya inapokea .

“Mojawapo ya kushirikisha jamii ni pamoja na kutumia Community Score Card  na kubaini viashiria  vipi vinaonesha changamoto   za Afya na wananchi  kuweza kupima ni kiashiria kipi hakijafanya vizuri na kuweza kuboresha”amesema.

Aidha,Tolage amesema kupitia Mafunzo ya Tathmini Shirikishi ya Kijamii wamejiwekea Mpango Kazi utakaokuwa unapimwa hatua za utekelezaji baada ya miezi mitatu na kuona mabadiliko yapi yametokea.

“Tumeweka Mpango Kazi baada ya miezi mitatu ufuatiliaji unafanyika ndani ya kituo ni mabadiliko yapi yametokea katika uboreshaji wa huduma na tutaendelea ufuatiliaji na baadhi ya vitu vinakuwa ndani ya uwezo wa wananchi wenyewe pamoja na maeneo husika ya utoaji wa huduma pia serikali imeandaa Mwongozo  na itaendelea kuuboresha kufikia mwaka wa fedha 2023/2024 mwongozo huu utakuwa umekamilika”amesema.

Kwa upande wake Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt.Silas Wambura ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Ufungaji wa Mafunzo hayo  amesema Tathmini Shirikishi ya Kijamii ni muhimu kwani   jamii ndio kioo kinachopima  hali halisi ya  upatikanaji wa huduma  ngazi ya jamii husika.

“Ukitaka kujipima kama unatoa huduma Bora ni Tathmini kwa wanannchi ,ni kioo chetu hivyo wananchi kujitathmini wao wenyewe na huduma zinazotolewa katika maeneo yao ni kitu cha muhimu sana ili kuweza kubaini changamoto zilizopo na serikali iweze kuzifanyia kazi”amesema.

Mratibu wa Huduma za Afya katika jamii kutoka Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa [OR-TAMISEMI]Martha Mariki amesema Tathmini Shirikishi ina umuhimu mkubwa hivyo kuna haja ya kufika katika maeneo mengine na kubainisha kuwa dawa na majengo peke yake haitoshi kujipima kuwa huduma bora inatolewa kwa mwananchi .

“Tuna kazi kubwa kuhakikisha afua hii tunapeleka katika maeneo mengine ambapo itawezesha kuwapa mafunzo wataalam ,kwa hiyo kuwa na majengo na dawa hakutoshi kupima kuwa unatoa huduma bora hivyo hatua hii ya tathmini shirikishi  ya Jamii ndio inayotupa mwanya wapi panahitaji marekebisho katika uboreshaji wa huduma”amesema.

Mratibu wa Uhusiano Jamii na Mabadiliko ya Tabia kutoka  Americares Mussa Lunyonga amesema Mafunzo ya Tathmini Shirikishi ya Jamii (Community Score Card)  yametolewa kwa kushirikiana na  Wizara ya Afya,Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na wakufunzi wabobezi wa Tathmini Shirikishi.

Ikumbukwe kuwa Mafunzo hayo ya tathmini shirikishi ya jamii sekta ya afya   yametolewa kwa Asasi za Kiraia kutoka mikoa ya Mwanza kwa halmashauri ya Magu,Sengerema,Ukerewe na Misungwi na Mkoa wa Shinyanga kwa Halmashauri  ya Msalala,Kishapu na Manispaa ya Shinyanga.

About the author

Alex Sonna