Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

KIGAHE ATAKA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA NCHINI KUWA WALEZI WA JUMUIYA ZA WAFANYABIASHARA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Iringa  wenye wenye lengo la kujadiliana na kushauriana kuhusu masuala muhimu ya maendeleo ya biashara na changamoto zake katika mkoa huo.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (hayupo pichani),wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Iringa  wenye wenye lengo la kujadiliana na kushauriana kuhusu masuala muhimu ya maendeleo ya biashara na changamoto zake katika mkoa huo.

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua  Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Iringa  wenye wenye lengo la kujadiliana na kushauriana kuhusu masuala muhimu ya maendeleo ya biashara na changamoto zake katika mkoa huo.

…………………………….

 

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe  ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote nchini kuhakikisha wanakuwa Walezi wa Jumuiya za Wafanyabiashara na kuwa nao karibu katika kila jambo wanalotaka kulifanya ili watoe ushauru wenye tija katika kujenga na kustawisha biashara hapa nchini.

Aidha, amewashauri Wakurugenzi, Wenyeviti wa Halmashauri, Mameya wote nchini kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania kutengeneza mfumo mzuri utakaomfanya kila mfanyabiashara anapotaka leseni ya biashara aipate kwa haraka bila usumbufu.

Kigahe ameyasema hayo alipokuwa akihutubia Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Iringa kwa lengo la kujadiliana na kushauriana kuhusu masuala muhimu ya maendeleo ya biashara na changamoto zake katika mkoa huo.

Kigahe pia amewasisitiza Wakuu wa Mikoa na  Wakuu wa Wilaya zote nchini waitishe mikutano ya majadiliano mara kwa mara kati ya Serikali na Sekta Binafsi kupitia Mabaraza ya Biashara ya Mikoa na Wilaya ambayo yapo kisheria kwa lengo la kutatua kero za Wafanyabiashara na Wawekezaji kwa wakati kwa kuwa ndio injini ya uchumi wa taifa.

Kigahe pia ametoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na wakati wote kuhakikisha utoaji wa huduma hizo unalenga kuwezesha na siyo kukwamisha biashara.

Akijubu maoni na hoja zilizotolewa, Kigahe amewaahidi wafanyabiashara hao kuwa Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Wizara za kisekta pamoja na Serikali za Mitaa itahakikisha inatatua changamoto zote zilizowasilishwa zinatatuliwa haraka iwezekanavyo ikiwemo suala la sehemu ya machinga, pamoja na mgogoro wa Bajaji na Daladala mkoani humo.

Vilevile, amesema endapo bidhaa nyingi zinazozalishwa katika Mkoa huo hususani zile za mazao ya Misitu, Mazao ya kilimo na mifugo ikiwemo mahindi, mchele, mbogamboga na matunda zikichakatwa na kuhifadhiwa katika viwango vinavyokubalika kimataifa vitawezesha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania kunufaika na fursa ya masoko ya baina ya nchi, kikanda na kimataifa ambayo Tanzania imeingia mikataba kama EAC, SADC, AfCFTA na AGOA.

Aidha, Amesema Wizara itaendelea kutekeleza ipasavyo Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) ili kuendana na kasi ya Serikali ya kukuza na kuvutia uwekezaji katika Sekta ya Viwanda na Biashara.

About the author

Alex Sonna