Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DC NA WAKURUGENZI WANNE

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-

  1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali;

2.Bw. Msongela Nitu Palela, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Mara;

3.Bw. Michael Augustino Matomora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Singida;

4.Bw. Linno Pius Mwageni, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Shinyanga; na

5.Bw. Sunday Deogratius Ndori, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Njombe.

Utenguzi huu ulianza tarehe 22 Januari, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

About the author

mzalendoeditor