marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sakarya escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

kavbet

marsbahis

perabet giriş

interbahis

perabet giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

piabet

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

holiganbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

piabet

safirbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

vbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casibom

Hacklink Panel

betplay

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

safirbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

deneme bonusu

interbahis

interbahis giriş

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

norabahis

1xbet

Featured Kitaifa

MCH.MSANYA:’WAKUU WA SHULE ZA MAKANISA SIMAMIENI MAADILI YA WANAFUNZI WETU’

Written by Alex Sonna

 

Msaidizi wa Askofu KKT Dayosisi ya Kaskazini Mchungaji Deogratius Msanya,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi Msaidizi wa Askofu KKT Dayosisi ya Kaskazini Mchungaji Deogratius Msanya (hayupo pichani)  wakati akifungua Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Marangu Mwalimu Fredrick Matery,akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasm Msaidizi wa Askofu KKT Dayosisi ya Kaskazini Mchungaji Deogratius Msanya (hayupo pichani)  mara baada ya kufungua  Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Christian Social Services Commission (CSSC) Bw.Peter Maduki,akielezea umuhimu wa  Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Mkuu wa Idara ya Elimu Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) Sister Joyce Mboya,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufunguliwa kwa Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Mkuu wa Shule ya Agape Lutheran Junior Seminary Mchungaji Godrick Lyimo,akizungumzia mikakati iliyopo katika shule za Makanisa katika kuwalea na kuwajenga kiimani wanafunzi mara baada ya kufunguliwa kwa Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

Msaidizi wa Askofu KKT Dayosisi ya Kaskazini Mchungaji Deogratius Msanya akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua Mkutano wa Shule za Sekondari za Makanisa ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC) unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Januari 24 mpaka 25,2o23 jijini Dodoma.

………………………………….

Na Bolgas Odilo-Mzalendo blog
 WAKUU  wa shule za Sekondari za Makanisa nchini wametakiwa kusimamia maadili ya wanafunzi na walimu ili kuzalisha kizazi kiadilifu kitakachokuja kulisaidia Taifa katika miaka ya baadae.
Hayo yameelezwa leo Januari 24,2023 jijini Dodoma na Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini,Mchungaji  Deogratius Msanya wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa wakuu wa shule hizo ulioandaliwa na Christian Social Services Commission (CSSC).
Mch. Msanya amesema jambo kubwa linalosumbua kwa sasa ni maadili kwa wanafunzi na walimu hivyo kuna haja ya wakuu hao kusaidia kwa vitendo ikiwa ni pamoja na kupaza sauti.
“Lazima tukubali ambaye amejengwa kiimani na kimaadili atakuwa vizuri na atakuwa na hofu ya Mungu na hata mahali pa kazi utaona utendaji kazi wake,utakuwa ni wa hali ya kujali na ataonesha kuwajali wale anaowahudumia.
“Niseme ni jambo linasikitisha  taasisi za kidini zikitajwa jambo la msingi ni kufanyia kazi na kuthibitisha isije ikawa ni mambo ambayo ya kufikirika.
“Kama yapo mambo ambayo  sio mazuri  tuchukue hatua za haraka kushughulika tatizo hilo kwa sababu tutakuwa na kizazi chenye shida,”amesema Mch.Msanya
Hata hivyo ameishauri Serikali kutafuta ufumbuzi wa kero mbalimbali ambazo zinajitokeza katika jamii ikiwemo suala la ukosefu wa maadili na vitendo ambavyo havimpendezi Mungu.
“Changamoto naona ni utandawazi taarifa zipo kiganjani wanafunzi  wanajifunza mambo mengi sana, watoto kuwapa simu wakiwa na umri mdogo nayo ni shida.
“Ukweli tungependa sana shule zetu zisitajwe kwenye mambo kama hayo wakuu wa shule zetu angalieni  elimu yenye maadili,”amesema Mchungaji huyo.
Amesema kwa upande  wa shule za serikali haina mzaha na wao wanapashwa kusimamia  kwa umoja wetu kupinga mambo ambayo hayampendezi Mungu.
Kwa upande wake,Mkurugenzi Mtendaji wa Christian Social Services Commission (CSSC), Bw.Peter Maduki amesema taasisi hiyo ilianzishwa mwaka 1992 kwa ajili ya kuimarisha huduma za utoaji wa elimu na afya zinazotolewa na taasisi za makanisa.
Amesema  wana taasisi za elimu 1033  ambazo zimesajiliwa na serikali katika ngazi ya elimu ya awali msingi,sekondari vyuo vya kati, ufundi na Vyuo Vikuu.
Amesema lengo ni  la kuhakikisha tunatoa elimu bora kwa watu wote kwa usawa hasa wale wenye changamoto mbalimbali ili  mhusika aelimike kiakili na kiroho.
“Mpaka sasa kuna mafanikio tuna taasisi  nyingi za elimu zenye ubora na vijana wanafaulu vizuri katika masomo yao.
“Ili kufikia lengo la kufaulu huwa tunatoa mafunzo ya mara kwa mara kwa walimu wetu ili wawe mahiri tukishirikiana na Serikali,”amesema Maduki.
Amesema ili elimu  iwe bora wanashughulikia suala la maadili kwa kufuata sera ya ulinzi wa mtoto na kufundisha elimu ya dini kwa wanafunzi na mafunzo ya kanuni za kazi na maadili kwa walimu ili kuhakikisha wanafunzi wanalelewa katika misingi ambayo wanatarajiwa na jamii.
“Tunatoa mafunzo kwa watoto kujitambua na kujilinda, walimu na wazazi pamoja na jamii inayowazunguka kwamba ulinzi wa  mtoto unaanzia nyumbani,” amesema 
Amesema wanajaribu kuimarisha mafunzo ya dini ili wanafunzi waishi kulingana na maadili na wanakuwa na upendo kuwaepusha kwenda kinyume na msingi wa kanisa.
“Tumenzisha klabu za ulinzi wa Watoto mashuleni ili waweze kuelimishana juu ya mambo hayo.Wito wangu kwa jamii, malezi lazima yahusishe jamii nzima malezi mazuri yanatolewa wasiwkuelimishana juu ya mambo hayo. Wito wangu kwa jamii na wazazi, malezi lazima yahusishe jamii nzima malezi mazuri yanatolewa nyumbani wasiwaachie walimu peke yao,”amesema amesema Maduki.
Naye Mkuu wa Idara ya Elimu Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) ,Sister Joyce Mboya ,amesema kupitia mkutano huo wamejifunza kuhusu malezi kwa vijana na watahakikisha shule wanazozisimamia kwa vitendo.
“Ndio maana sisi tuna sera inayotuongoza na tuna vitabu vya kufundishia ili wakienda popote waweze kufanya kazi wawe wawajibikaji na wabunifu kwa ajili ya kuendeleza Taifa,”amesema  Mboya.

About the author

Alex Sonna