Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe 17 Januari 2023 kwaajili ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.

About the author

Alex Sonna