Featured • Michezo SIMBA SC YACHAPWA DUBAI MECHI YA KIRAFIKI 2 years agoby mzalendoeditor369 Views Written by mzalendoeditor SIMBA SC imepoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki baada ya kuchapwa bao 1_0 dhidi A Dhafra iliyopigwa leo Abu Dhabi. Simba imepiga kambi Dubai itacheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya CSK Moscow Januari 15 saa 10:00 jioni. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn