Featured Kitaifa

“NAFANYA KAZI SANA ILA MAFANIKIO SIYAONI”, ILIKUWA SHIDA YANGU ILA SASA BASI! 

Written by mzalendoeditor

HIVI  ulishawahi kuona watu ambao wanafanya kazi kila siku, kwao hakuna mapumziko wala likizo lakini ukitazama maisha yao hakuna mafanikio yoyote yale?. Mimi pia nilikuwa sehemu ya kundi hilo!.

Jina langu ni Zuberi kutokea Meru, nafanya biashara ya kusafirisha mifugo shehemu mbalimbali za nchi hasa kutoka maeneo ya vijini kwenda kwenye majiji hapa nchini Kenya. 

Nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 10 sasa, nimepata mafanikio makubwa kama kujenga nyumba mbili, kusomesha watoto wangu shule nzuri ambazo zinatoa elimu bora ya kusifika hapa nchini. 

Lakini wakati naanza kazi hii nilipitia changamoto nyingi sana, moja wapo ni kwamba sikuweza kuona fedha ambazo nilikuwa nazifanyia kazi, nilikuwa nafanya kazi nakuchoka sana ila hakuna mafanikio yoyote yanayoonekana katika maisha. 

Nilikuwa nalala nimechoka sana, nikiamka sijiwezi kwa lolote, hadi mke wangu kuna wakati akawa ananishauri nijaribu kutafuta aina nyingine ya kazi niweze kufanya. 

Katika kupita huku na kule na kuzungumza na wafanyabiashara ambao wamefanikiwa katika kazi zao, ndipo nikaweza kubaini siri moja muhimu ambayo naweza kusema ndio imenifikisha hapa nilipo kwa sasa. 

Nayo ni “African Doctors”, watu hawa ndio walionipatia dawa ya kuthibiti fedha zangu na tangu wakati huo ndipo nikaanza kuona maendeleo katika kazi yangu na wakati huo ndipo maisha yangu wakawa na mabadiliko sana. 

Katika kundi lile kuna mtu alitoa simulizi jinsi ambavyo “African Doctors” waliweza kumsaidia katika changamoto za biashara zake na ndipo akatupatia namba yao ambayo ni +254719153 099, nami nilichukua na kuwasiliana nao ndipo nikapata msaada huo. 

Ningependa kuwashauri watu ambao wamekuwa wakifanya kazi na biashara lakini fedha zao hawazioni, kuwaliana na “African Doctors” ili kuweza kupata utatuzi wa changamoto hiyo na wao kuweza kufurahia maisha kutokana na jitihada zao. 

About the author

mzalendoeditor