Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

MIRADI 215 YASAJILIWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ZANZIBAR-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Afisa Rasilimali Watu, Othman Hussein, baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwonekano wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, ambayo imefunguliwa rasmi Januari 11, 2023 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

*************************

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi jumla ya miradi 215 imesajiliwa kupitia Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 3.26.

“Miradi yote hii inatarajiwa kutoa ajira zaidi ya 13,000.  Mafanikio haya yote kwa kipindi hiki kifupi, yamechangiwa na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Nane zikiwemo sera na mipango madhubuti iliyowekwa na Chama cha Mapinduzi kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya Mwaka 2020.”

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Jaruari 11, 2023) baada ya kuzindua mradi wa hoteli ya Kilindini yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na kampuni ya KILINDINI COMPANY LIMITED iliyoko katika kijiji cha Pwanimchangani wilaya ya Kaskazini A ikiwa ni sehemu ya matukio muhimu yaliyojumuishwa katika maadhimisho ya sherehe za kutimiza miaka 59 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

Amesema wananchi wana kila sababu ya kuyaenzi mapinduzi hayo kwa sababu ndicho chombo kilichowavusha kutoka katika gharika za kutawaliwa na kubaguliwa katika nchi yao. “Kwa mnasaba huo, sherehe hizi za kuadhimisha Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zinakua ni sehemu ya historia muhimu kwani zinatukumbusha jinsi ambavyo wakulima na wafanyakazi wanyonge walivyokataa madhila ya kubaguliwa na kunyanyaswa.”

“Kukusanyika kwetu hapa katika kijiji cha Pwani Mchangani ni kielelezo kingine cha uwepo wa amani na usalama katika nchi yetu. Uwepo wa amani na usalama umekuwa chachu katika kuvutia wawekezaji wengi wa kigeni na hivyo, kuvifanya visiwa vyetu vya Unguja na Pemba kuwa sehemu sahihi ya kuwekeza mitaji yao.”

Amesema kuwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Rais Dkt.Mwinyi wanao mkakati endelevu wa kukuza sekta ya uwekezaji nchini ikiwemo kushirikisha sekta binafsi nchini na kuvutia mitaji kutoka nje kwa lengo kuhakikisha nchi zetu zinakuwa na uchumi imara

“Ninapenda kutumia fursa hii kuwapongeza wamiliki kwa kuichagua Zanzibar kuwa sehemu ya kuwekeza mradi huu mkubwa. Binafsi, ninaamini kuwa uamuzi huu wa kuwekeza hapa nchini umetokana na uzuri wa visiwa vyetu pamoja na imani kubwa”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA, Shariff Shariff amesema mradi huo unaomilikiwa na wawekezaji wanne ambao ni Elias Micheal na Rabih Micheal kutoka Italia pamoja Monica Seavendra Perez na Osca Seavendra Perez kutoka Uhispania umegharimu dola za Kimarekani milioni 13 sawa na shilingi bilioni 30. Hoteli imeajiri watumishi 62 kati yake 59 ni Watanzania.

Awali, Katibu Mkuu wa Afisi ya Rais anayeshughulikia Uchumi na Uwekezaji, Habiba Omar alisema tangu kuasisiwa kwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar jumla ya miradi 1,225 imesajiliwa kupitia ZIPA ikiwa na thamani ya dola za Kimarekani bilioni 16.4. Kati ya miradi hiyo 452 sawa na asilimia 37 ni miradi ya hoteli, ambapo hoteli 38 zina hadhi ya nyota tano.

About the author

Alex Sonna