Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA KITOGANI KUSINI UNGUJA.

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani ya  Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa tatu kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akisalimiana na  Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani    Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.`Rashid Hadid Rashid.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani ya  Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa tatu kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali  ya Wilaya Kitogani  Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya ufunguzi  wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani   Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa nne kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamo wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (wa tatu kulia).

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia  na Wananchi waliofika kupata matibabu  wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja leo  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui. 

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa  akiwasha gari la Kubebea Wagonjwa la Hospital  ya Wilaya Kitogani leo mara alipoifungua Hospitali hiyo (Ambulance) Mkoa wa Kusini Unguja  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kusini na Wananchi waliofika katika Sherehe za ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja leo wakifuatilia harakati za sherehe hiyo wakati mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla wakiwa katika Sherehe za ufunguzi wa Hospitali  ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika leo,ambapo wananchi wa Vijiji mbalio mbali vya Wilaya hiyo wamehudhuria katika sherehe hiyo.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo  ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,(kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi).

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo aliyoifungua ambayo imejemngwa  na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Jengo la Ghorofa la Kisasa la Hospitali ya Wilaya ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja   lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,

Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani  Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutua yake baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor