Featured Kitaifa

RAID YAKUBALI MWALIKO WA MUDA MREFU WA KUTEMBELEA MGODI WA NORTH MARA

Written by mzalendoeditor

Mgodi wa Dhahabu
wa North Mara
 umethibitisha kwamba
shirika lisilo la kiserikali la nchini Uingereza linalojishughulisha na masuala
ya Haki na Binadamu na uwajibikaji katika kuleta Maendeleo (RAID), limekubali
mwaliko
 wa muda mrefu wa kutembelea Mgodi
huo katika wiki inayoanza tarehe 30 Januari 2023.

 

Lengo kubwa la ziara hiyo ya kutembelea Mgodi itakuwa ni kuionyesha
RAID miradi mingi ambayo North Mara imetekeleza kuboresha maisha ya jamii
zinazotuzunguka mgodi, kuwaelewesha mazingira ya uendeshaji wa  shughuli za mgodi wa North Mara na kukutana
na wadau wakuu katika kanda hiyo. North Mara na RAID pia zitajadili masuala
ambayo  RAID itayabainisha na kutoa

About the author

mzalendoeditor