Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

RAI SAMIA ALIHUTUBIA TAIFA WAKATI AKITOA SALAM ZA KUAGA MWAKA 2022 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2023

Written by Alex Sonna

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa wakati akitoa Salam za kuaga Mwaka 2022 na kuukaribisha Mwaka mpya wa 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba, 2022.

……………………………….

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA

MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN,

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,

KWA WATANZANIA – TAREHE 31 DISEMBA 2022

Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu;

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! 

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema kwa kutujaalia baadhi yetu kuiona siku ya leo tunapouaga mwaka wa 2022 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2023. Tunapokusanyika pamoja na familia zetu na marafiki kuusubiri kwa hamu kubwa mwaka 2023, nataka niwatakie nyote mwaka wenye Afya njema, Neema na Furaha.

Leo hii wapo wenye afya njema na furaha kutokana na sababu mbalimbali za mafanikio ya kimaisha. Lakini kama kawaida ya maisha, wapo wengine wanaopitia changamoto kadhaa.  Pamoja na changamoto tulizopitia mwaka 2022, nawaomba tusikate tamaa, bali, changamoto zozote zile zitupe nguvu na tuutazame mwaka mpya kwa matumaini makubwa mbele yetu. Kila mmoja wetu ajidhatiti na awe na uthubutu wa kusimama tena kukabiliana nazo. 

Ni katika mustakabali na utamaduni huo wa kutokata tamaa na kupambana, ndio ndoto na matumaini ya Taifa letu na Wananchi wake yamekuwa yakihuishwa mwaka hadi mwaka. 

Natumia fursa hii, kumuomba Mwenyezi Mungu Mkarimu atuondolee kila aina ya dhiki, atupe faraja na furaha; na awalaze mahali pema peponi wapendwa wetu wote waliokwisha kutangulia katika ufalme wa milele. Aidha, napenda kuwapongeza wale wote waliopata mafanikio ya kimaisha; nikimuomba Mwenyezi Mungu Muweza atujaalie mafanikio zaidi katika mwaka ujao 2023. Amina.

Ndugu Wananchi;

Kwa ujumla inafurahisha kuwa, kama Taifa, tunauaga mwaka 2022 tukiwa tumeendeleza mshikamano wetu, kuilinda amani na kupiga hatua kubwa za maendeleo ya nchi yetu. 

Pamoja na mafanikio hayo, nitumie fursa hii kuwakumbusha  viongozi wenzangu tuliobeba jukumu zito la kuhudumia Taifa hili, kwamba Watanzania wana matumani makubwa kwetu, na kwamba tunatarajiwa kuendelea kuliongoza Taifa hili kwa juhudi, uadilifu na kwa misingi ya haki na sheria.  Hivyo basi, mwaka 2023 uizidi miaka iliyopita kwa kasi kubwa zaidi ya utendaji kazi, na kudumisha umoja na amani kwa maendeleo zaidi.  

Ndugu Wananchi;

Hapana shaka kwamba kila mwisho unaanzisha mwanzo mpya, mwisho wa 2022 ndio mwanzo wa 2023.  Hakuna anaeweza kuurudisha muda nyuma na akarekebisha yaliyoharibika, hivyo basi, tufanyie kazi sasa changamoto zilizotukwaza 2022, ili tujenge mustakabali mzuri mbele yetu. Mwaka mpya ni kitabu kisicho na maandishi, kalamu ya kuandika mema au mabaya  ndani ya kitabu hicho iko mikononi mwa kila mmoja wetu, niwasihi kutumia vyema wakati huu, kujiandikia hadithi njema ya mafanikio ya baadae.  Serikali kwa upande wake, itaendelea kufanya kila litalowezekana ili mwaka wa 2023 kwa uwezo wa Molla uwe wa mafanikio makubwa zaidi. 

Wito wangu kwenu Wananchi ni kuwa, tuendelee kushikamana, tuzidi kuupa nguvu umoja wetu, tutunze amani na utulivu wa nchi yetu, ili tuwe na maisha ya furaha na maendeleo ya juu zaidi.  Mwisho kabisa, niwaombe tujitahidi kadiri tuwezavyo kuepuka misiba isiyo ya lazima katika sherehe hizi za mwisho na mwanzo wa mwaka.   Nimalizie kwa kurudia kuwatakia kila la kheri, afya njema na mafanikio zaidi ya kiuchumi na kijamii kwa kila mmoja wetu na Taifa zima. Tuwe na mwaka mwema 2023.  

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA!

About the author

Alex Sonna