Featured Michezo

SIMBA SC YAMSAJILI NTIBANZOKIZA

Written by Alex Sonna

KLABU ya Simba imetangaza kumsajili kiungo mkongwe Mrundi, Said Ntibanzokiza kutoka Geita Gold, akiwa mchezaji wake wa kwanza kabisa mpya dirisha hili dogo.

Ntibanzokiza amecheza Geita Gold kwa nusu msimu baada ya kuondoka kwa mahasimu wa Simba, Yanga SC ambako alidumu kwa misimu miwili.

About the author

Alex Sonna