Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

LENGO LA RAIS DKT. SAMIA KUHUSU UZALISHAJI WA MBOLEA LATIMIA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea kiwanda cha mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala jijini Dodoma, Disemba 20, 2022.  Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angela Kairuki. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha mbolea cha ITRACOM cha Nala jijini Dodoma, Disemba 20, 2022. Wa tano kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, kushoto ni Mwekezaji wa kiwanda hicho, Ntigacika Adrean na wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Nduwimana Nazaire.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mbolea wakati alipotembelea kiwanda cha mbolea cha ITRACOM  kilichopo Nala jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakitazama mbolea ya kupandia aina ya Fomi Otesha wakati alipotembelea kiwanda cha mbolea cha ITRACOM  kilichopo Nala jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea kiwanda cha mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala jijini Dodoma, Disemba 20, 2022.  Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angela Kairuki. 

Baadhi ya watumishi wa kiwanda cha mbolea cha ITRACOM wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho eneo la Nala jijini Dodoma.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wafanyakazi wa kiwanda mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala jijini Dodoma, Disemba 20, 2022 . Wa pili kulia ni Mwekezaji wa kiwanda hicho, Ntigacika Adrean na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Nduwimana Nazaire.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema lengo la Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha mbolea ya kutosha inazalishwa nchini badala ya kutegemea kuagiza nje limetimia baada ya kiwanda cha mbolea cha Itracom kilichopo Nala jijini Dodoma kuanza uzalishaji.

Mheshimiwa Majaliwa alitoa kauli hiyo jana (Jumanne, Desemba 20, 2022) baada ya kutembelea kiwanda hicho na kujionea shughuli za uzalishaji wa mbolea unaoendelea kiwandani hapo na hatua iliyofikiwa katika uwekezaji huo. “Mheshimiwa Rais Dkt. Samia amefurahi kusikia kiwanda hiki kimeanza uzalishaji.”

Alisema uwekezaji huo ambao unaenda sambamba na ujenzi wa viwanda vingine vitatu, kiwanda cha chokaa ya kilimo, vifungashio vya mbolea na kiwanda cha maziwa utaisadia Serikali katika kukabiliana na changamoto ya ajira. “Kuna fursa nyingi katika kiwanda hiki ikiwemo upatikanaji wa mbolea ya uhakika na kwa gharama nafuu.”

Waziri Mkuu alisema eneo hilo la uwekezaji lazima liwe na huduma zote muhimu zinazohitajika ili kukiwezesha kiwanda hicho kuendelea na uzalishaji. Huduma hizo ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya uhakika ya barabara, maji, mawasiliano pamoja na nishati ya umeme. 

Vilevile, Mheshimiwa Majaliwa alitumia fursa hiyo kutoa rai kwa Watanzania wanaofanyakazi kiwandani hapo kwamba wafanye kazi kwa weledi na uaminifu wa hali ya juu ili wawe mabalozi wazuri kwa wawekezaji wengine watakaokuja kuwekeza nchini. “Mkifanyakazi kwa bidii na uaminifu mtawarahisishia na wengine kupata kazi.”

Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameipongeza na kuishukuru Serikali kwa juhudi kubwa ilizochukua za kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na hatimaye kumpata mwekezaji aliyejenga kiwanda hicho ambacho kinakwenda kuiwezesha nchi kupiga hatua kubwa katika suala zima la uzalishaji wa mbolea.

Pia, Waziri Bashe amewataka mawakala wanaotekeleza zoezi la usambazaji wa mbolea za ruzuku wafanye kazi hiyo kwa uaminifu kwa kuwa Serikali ipo makini na itahakikisha inaendelea kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kufanya udanganyifu.

Awali, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Nduwimana Nazaire alisema ujenzi ulianza Julai 2021 na kimeanza uzalishaji wa tani 200,000 na kimeajiri watu 972. “Mitambo ya laini ya pili na ya tatu imeshafika na ujenzi unaendelea na mwakani tutakuwa tumekamilisha ujenzi wa mitambo itakayozalisha tani milioni moja kwa mwaka.”

Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa uongozi wa kiwanda hicho umejipanga kuhakikisha wanazalisha mbolea zenye ubora wa viwango vya juu na rafiki kwa udongo na mazingira ya eneo husika lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali nchini na hivyo kuwaongezea tija wakulima.

About the author

Alex Sonna