Featured Michezo

MESSI MCHEZAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2022

Written by mzalendoeditor

Nyota wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amefanikiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya kombe la dunia 2022, ambapo pia hii leo ameisadia timu yake kuchukua kombe hilo kwa kuifungia jumla ya magoli mawili.

 

About the author

mzalendoeditor