Featured Michezo

ARGENTINA MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022

Written by mzalendoeditor

TIMU ya Taifa ya Argentina  wametangazwa kuwa Mabingwa wa Kombe la Dunia 2022 baada ya kuifunga Ufaransa kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya kumaliza dakika 120 wakifungana 3-3. Mechi hii inakuwa ya mwisho Kombe la Dunia kwa staa wa Argentina Lionel Messi.

About the author

mzalendoeditor