Featured • Michezo MESSI MCHEZAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2022 3 years agoby Alex Sonna401 Views Written by Alex Sonna Nyota wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amefanikiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya kombe la dunia 2022, ambapo pia hii leo ameisadia timu yake kuchukua kombe hilo kwa kuifungia jumla ya magoli mawili. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn