Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA WATUMISHI WA MANISPAA NA HALMASHAURI YA SUMBAWANGA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa na Halmashauri ya Sumbawanga  kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Maurus Chemchemi iliyopo katika Manispaa hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa, D

Baadhi ya watumishi wa Manispaa na Halmashauri ya Sumbawanga wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya  Mtakatifu Maurus Chemchemi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor