Featured Kitaifa

MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Sumbawanga wakiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Rukwa, Disemba 16, 2022. Kulia kake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga, Jacob Mtalitinyi (kulia) wakati alipokagua Kituo Kikuu cha Mabasi cha Sumbawanga  akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Rukwa, Disemba 16, 2022.  Katikati na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor