Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

BAHI YAONGOZA KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akikabidhiwa vyumba 14 vya madarasa na ofisi 9 za walimu zilizokamilika kwa fedha zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Hafla hiyo imefanyika katika Shule ya Sekondari Bahi leo Desemba 12,2022. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Mwanahamisi Munkunda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bwana Athumani Masasi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amekabidhiwa vyumba 14 vya madarasa na ofisi 9 za walimu zilizokamilika kwa fedha zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ili wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023 waweze kupata madarasa ya kutosha ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi.

Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ikiwa ni miongoni mwa Halmashauri 8 za mkoa wa Dodoma zilizopewa fedha za ujenzi wa vyumba vya madarasa ilipokea shilingi Milioni 280 tarehe 8 Oktoba, 2022 na imeweza kuwa Halmashauri ya kwanza kukamilisha ujenzi wa vyumba hivyo na kukabidhi tarehe 12 Disemba, 2022 huku kila darasa likiwa na viti 40.

Akisoma taarifa ya ujenzi huo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bwana Athumani Masasi amesema kuwa ‘’Vyumba vya madarasa 14 na ofisi 9 vimejengwa katika shule zote 8 za Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ikiwemo shule ya sekondari ya Bahi iliyo kabidhi vyumba 5 na ofisi 2, Idihwa darasa 1 na ofisi 1, Kigwe madarasa 2 na ofisi 1, Chikola darasa1 na ofisi 1, Chipanga darasa 1 na ofisi 1, Chibelela darasa 1 na ofisi 1, Msisi Juu madarasa 2 na ofisi 1 na Lamaiti darasa1 na ofisi 1’’.

Aidha Mhe. Senyamule ametoa pongezi kwa Halmashauri hiyo na kutaka iwe ya mfano kwa Halmashauri nyingine zilizopo ndani ya mkoa na kusema;

‘’Mhe Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ana nia ya dhati ya kutaka kuondoa ujinga kwa kuimarisha sekta ya Elimu ambapo ametoa fedha za kuongeza vyumba vya madarasa 8,000 nchi nzima ambapo kwa mkoa wa Dodoma tumepata jumla ya vyumba vya madarasa 339” RC Senyamule

Sambamba na hilo Mhe. Senyamule ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa kuweza kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba mwaka 2022 kwa kuweza kuwa katika orodha ya Shule 10 bora zilizo fanya vizuri kitaifa ambapo kwa mkoa wa Dodoma ni Halmashauri hiyo pekee ndiyo iliyoweza kuingia katika 10 bora.

Hata hivyo RC Senyamule ameongeza kuwa Mhe. Rais ametekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 80 kwa Mkoa wa Dodoma huku vituo vya afya, zahanati, madarasa na huduma zingine zikizidi kuimarishwa.

 

About the author

Alex Sonna