Featured Kimataifa

WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI ANGOLA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu  Ikulu (Utawala, fedha  na Urithi)   Bi. Maria Auxiliandora Fragoso Pascoal, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda Nchini Angola  ambako atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiaya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS). Leo tarehe 9.12.2022.

About the author

mzalendoeditor