Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA:’ANAYEVURUGA MITIHANI ASHITAKIWE MAHAKAMANI,AHUKUMIWE NA AENDE JELA’

Written by Alex Sonna

Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam

Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na maafisa wengine wote wakiwemo askari ambao wamepewa jukumu la kusimamia mitihani.

Hatua hizo dhidi ya wasimamizi hao wa mitihani zitahusisha kusimamishwa kazi, kufukuzwa pamoja na kufikishwa mahakamani ili wafungwe jela.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 5 Disemba 2022 wakati akizungumza na uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mlongazila katika Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es salaam alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja.

Amesema kuwa ili kuimarisha sekta ya elimu lazima kushughulika na watu wanaofanya udanganyifu ikiwemo kuwachukulia hatua kali na kuwajibika huko sio tu kufukuzwa kazi kama ilivyozoeleka au kupewa onyo pekee bali wafungwe jela ili iwe fundisho kwa wengine.

Waziri Mkenda amesema kuwa Baraza la Mitihani Tanzania (NACTE) limeongeza mikakati ya kupambana na watu ambao wanafanya udanganyifu kwenye vituo vya mitihani ambapo serikali imewakamata na kuwachukulia hatua wasimamizi wote kwa kushirikiana kufanya ubadhilifu wa mitihani.

Amesema kuwa serikali imechunguza na kubaini kuwa watumishi wa serikali na watumishi wa sekta binafsi wamehusika kwenye udanganyifu wa elimu na kuwachukulia hatua.

“Sasa nisisitize kuna kauli inasema ukitaka kuuwa Taifa basi uwa elimu, sasa tunafanya mageuzi ya elimu nchini kwenye sera na mitaala lakini haiondoi jukumu la kusimamia elimu tunayoitoa sasa hivi inatolewa kwa taratibu zinazokubalika” Amesisitiza Waziri Mkenda

Waziri Mkenda amesema kuwa udanganyifu katika mitihani una madhara ya kumuwezesha mtu kufaulu ambaye hakustahili kufaulu kwani akiwa daktari ataleta athari kubwa katika jamii.

“Hasara mojawapo kubwa kwa Taifa letu ya kuvujisha mitihani ni kuwafundisha watoto katika umri mdogo kwamba ili uendelee ni lazima ufanye udanganyifu, tunaanza kujenga rushwa mapema mno na serikali haitakubali kitu kama hicho” Amekaririwa Waziri Mkenda

“Wale waliohusika hasa watumishi wa serikali, Maafisa elimu na watu wote waliohusika mahali pao kwa kweli ni jela, tunaongea na mamlaka husika kwamba tusije tukawafukuza tu kazi, wanachokifanya ni jinai, ukiangalia gharama za kuendesha mitihani ni kubwa sana kwahiyo mtu anayevuruga mitihani ashitakiwe mahakamani wahukumiwe na waende jela” Amesisitiza Waziri Mkenda

Waziri Mkenda ameeleza kuwa serikali itapitia sheria ili kama kuna mwanya wa kuwawezesha watu kufanya udanganyifu na wakatoka bila kuchukuliwa hatua yoyote kuwe na namna ya kufanya mabadiliko.

Amesema anayechezea mtihani afungwe jela na ametoa onyo kwa wote wanaofanya hivyo kuacha mara moja udanganyifu huo.

About the author

Alex Sonna