Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WANANCHI KIBITI WAMSHUKURU RAIS SAMIA UJENZI DARAJA LA MBUCHI

Written by Alex Sonna

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibiti akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibiti akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 28, 2022. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibiti akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 28, 2022. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Pwani.Mwishehe  Mlao.

Baadhi ya Watumishi wa Umma na Wawakilishi wa wananchi wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya KIbiti Mkoa wa Pwani

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………..

Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambalo limegharimu shilingi bilioni 7.2.

Wamezungumza hayo leo (Jumatatu, Novemba 28, 2022) wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea kukagua ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa mita 61.

Wakizumgumza kwa nyakati tofauti wananchi hao wamesema kuwa ujenzi wa daraja hilo umesaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa adha ya usafiri kati ya kata hizo ambapo awali iliwalazimu kutumia mitubwi ambayo ilikuwa tishio kwa uhai wa wakazi hao hasa kipindi cha mvua kubwa mto huo ukiwa imejaa.

“Sisi kina mama tuliteseka kwa muda mrefu sana, safari za kwenda kufuata huduma za afya kwetu ilikuwa ni mtihani mkubwa, tulihofia maisha yetu, lakini kwasasa hata usiku wa manane tunavuka bila shida kufuata huduma za afya, tunamshukuru sana Rais wetu kwa kuiona changamoto yetu na kuifanyia kazi”

Akizungumza na wanamchi baada ya kukagua  ujenzi wa daraja hilo, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakazi hao kulitumia daraja hilo kujiimarisha kiuchumi kwa kujishughulisha na kazi mbalimbali kwakuwa usafiri kwenye eneo hilo umekuwa wa uhakika kwa muda wote.

Aidha, Waziri Mkuu amewataka wakazi hao kuwa walinzi namba moja wa miundombinu kwenye daraja hilo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kutekeleza malengo yaliyokusudiwa ya ujenzi wa daraja hilo.

Kwa upande Mwingine, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa mikoa kuhakikisha wanachukua hatua za kisheria mfugaji ambaye ameshindwa kufuata Sheria za nchi na kuamua kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima.

Pia Waziri Mkuu alitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya kibiti ambapo awamu ya kwanza ilihusisha ujenzi wa majengo saba ikiwemo jengo la utawala, wagonjwa wa nje, maabara, wazazi, jengo la kufulia na jengo la stoo ya dawa ambapo ujenzi wa mradi huo umegharimu shilingi bilioni 1.8.

Amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inathamini na kuwajali wafugaji nchini kwa kuwa sekta ya mifugo inatija kwenye uchumi wa nchi ikiwemo kuleta fedha za kigeni lakini ni lazima wafugaji wazingatie sheria.

Akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakuu wa idara kwenye Halamshauri wahakikishe kila eneo wanalosimamia linafanya kazi kwa ufanisi na kuleta matokea serikalini

Pia amewataka watumishi hao wahakikishe wanawahudumia wakulima katika maeneo mbalimbali katika wilaya hiyo kwakuwa kuna idadi kubwa ya wakulima ili shughuli zao ziweze kuleta tija na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla.

Kwa upande Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema kuwa ujenzi wa daraja hilo umewezesha wakazi wa kata hizo kupata huduma za afya katika kituo kipya cha afya cha mbwera ambacho kimekuwa mkombozi kwa wananchi wa kata hizo.

About the author

Alex Sonna