Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

kingroyal

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

mavibet

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betpark

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

Featured Kitaifa

WATUMISHI 6986 WA KADA YA ELIMU WAPIGWA MSASA

Written by Alex Sonna

Washiriki wa kikao kazi cha mafunzo ya uwezeshaji kitaifa juu ya namna kujenga uwezo wa kuibua hadithi za mafanikio miongoni mwa walimu katika kuboresha ufundishaji na ujifunzaji mashuleni wakisikiliza nasaha za Katibu mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael.

……………………………

Na Farida Mangube.Morogoro.

Watumishi wa kada ya elimu wapatao 6986 kutoka katika halmashauri  29 za mikoa ya Katavi,  Kigoma, Singida na Pwani, wanatarajiwa kupatiwa mafunzo ya walimu kazini yatakayo husisha maafisa elimu wa mikoa na wilaya, wadhibiti ubora wa shule kanda na halmashauri, maafisa elimu kata, walimu wakuu, walimu wa taaluma pamoja na walimu wa ashule za msingi.

Hayo yameelezwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael kwenye kikao kazi cha mafunzo ya uwezeshaji kitaifa juu ya namna kujenga uwezo wa kuibua hadithi za mafanikio miongoni mwa walimu katika kuboresha ufundishaji na ujifunzaji mashuleni.

Dkt.Michael alisema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuboresha ujifunzaji na ufundishaji kwa wanafunzi katika shule zoti nchini ikiwa ni poamoja na wanafinzi wenye mahiaji maalumu.

Aidha alisema kuwa kupitia programu ya shule bora mafunzo yamekwishafanyika katika Halmashau 29 za mikoa ya Mara, Kigoma, Singida, Simiyu, Dodoma, Tanga pamoja na Rukwa kwa maafisa taaluma wa Wilaya, wadhibiti ubora wa shule, Waratibu wasaidizi wa Tume ya utumishi wa walimu, walimu wakuu, walimu wa taaluma pamoja na wawezeshaji rika.

“Mafunzo yalilenga kujenga uwezo wa kusimamia na kuendesha mafunzo endelevu kwa walimu kazini lakini pia kufuatilia utekelezaji wa mtaala wa elimu ya msingi kwa kutumia hadithi za mafunzo za kujifunza zitakazokuwa kichocheo kwa walimu wengi kujifunza hadithi hizo” alisema Dkt.Michael

Hata hivyo amewaagiza watumishi hao kutekeleza kikamilifu  jukumu la kutoa mafunzo hayo kwa umakini mkuwa  na kwa kuhakikisha kuwa lengo kuu la mafunzo hayo linafikiwa ipasavyo.

“Uwekezaji katika mafunzo haya ya walimu kazini ni mkuwa sanahi vyo nawaagiza viongozi katika nazi zote  kusimamia kikamilifu utekelezaji wa  mafunzo pamoja na kuweka mikakati na mipango endelevu katika mamlaka zao na kuhakikisha kuwa mafunzo yanakuwa na tija na uendelevu kwa awalimu” alisema Dkt.Michael

Kwa upande wake  Mkurugenzi  mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dk.Aneth Komba. aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kutumia nafasi na muda wanaotumia katika mafunzo kupata ujuzi utakao wasaidia kwenda kuleta mabadiliko chanya katika elimu ya Tanzania.

Pamoja na mambo mengine Dk.Aneth Komba. alisema kuwa ili kuweza kuandaa moduli zinazokidhi mahitaji kazi mojawapo ni kukusanya na kufanya tathmini ya mahitaji halisi ya walimu ambayo hata hivyo yanatofautiana kutoka shule moja kwenda nyingine.

About the author

Alex Sonna