Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

bodrum escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

matbet

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

Uncategorized

”UGAWAJI WA MADUME BORA YA NG’OMBE NI UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MABADILIKO WA SEKTA YA MIFUGO” – WAZIRI NDAKI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki,akizungumza na wafugaji  wakati wa hafla ya kugawa  madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

SEHEMU ya Wafugaji na Viongozi wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki,akizungumza wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilayani Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Gift Msuya,akizungumza wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilayani humo  Mkoani Dodoma hafla iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo, Dkt. Asimwe Rwiguza,akitoa taarifa wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya  Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji na Maendeleo ya Masoko kutoka Sekta ya Mifugo, Bw. Stephen Michael,akielezea hali ya mifugo iliyopo nchini wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya  Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

MENEJA wa Taasisi ya PASS Trust kutoka Mwanza Bi.Langelika Kalebi,akizungumza wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya  Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

MWENYEKITI  wa wafugaji Wilaya ya Chamwino, Bw. John Kochocho,akitoa neno la shukrani kwa Wizara ya Mifugo mara baada ya kukabidhi Madume ya Ng’ombe wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya  Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

MWENYEKITI wa Kikundi cha Wafugaji Chamwino Bw.Mailosi Malogo,akiishukuru Serikali kwa kuwagawia Madume ya Ng’ombe wakati wa hafla ya kugawa Madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya  Chamwino Mkoani Dodoma hafla  iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki,akigawa Madume 50 Kwa Vikundi vya wafugaji Chamwino wakati wa hafla ya kugawa madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma iliyofanyika leo Novemba 24,2022.

MUONEKANO wa Madume 50 yaliyokabidhiwa kwa  Vikundi vya wafugaji wa Chamwino  leo Novemba 24,2022.

………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amesema ugawaji wa madume ya bora ya ng’ombe ni utekelezaji wa mpango wa mabadiliko wa Sekta ya Mifugo.

Waziri Ndaki ameyasema hayo leo Novemba 24,2022 wakati wa hafla ya kugawa  madume bora 50 ya ng’ombe aina ya boran kwa Vikundi vya wafugaji katika wilayan ya  Chamwino Mkoani Dodoma.

Waziri Ndaki amesema kuwa Dume moja ana uwezo wa kupanda majike 25 kwa mwaka, kwa vikundi vya wafugaji kwa lengo la kwenda kuboresha mifugo yao ambayo mingi ni ya asili.

“Mifugo mingi iliyopo hapa nchini ni ya asili na uzalishaji wake wa nyama na maziwa kwa mfugo ni ndogo, hivyo kwa kuanza kuboresha mifugo kwa kutumia madume haya pamoja na njia ya uhimilishaji kutasaidia wafugaji kuwa na mifugo michache ambayo itakuwa na uzalishaji mkubwa wa nyama na maziwa,” amesema 

Aidha amesema kuwa Ng’ombe wa asili huzalisha nyama kilo 80 -120 kwa ng’ombe wakati baada ya kuboreshwa kwa kosaafu mfugaji anaweza kupata kilo 150 – 200 kwa ng’ombe.

Amesema kuwa pia kwenye upande wa maziwa ng’ombe hawa walioboreshwa kosaafu huwa na uwezo wa kutoa kati ya lita 5 – 10 za maziwa na hivyo kumfanya mfugaji apate tija zaidi tofauti na mfugaji wa ng’ombe wa asili.

Waziri Ndaki amewataka Wafugaji  kuyatunza madume hayo kwa kufuata taratibu zote wanazoelekezwa na wataalam wa mifugo.

”Navitaka vikundi ambavyo vimepatiwa madume hayo kuyatumia kwa kushirikiana na wafugaji wengine ili kuhakikisha tija inapatikana kwa wafugaji ndani ya Wilaya ya Chamwino.”amesisitiza

Kwa upande wake Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo, Dkt. Asimwe Rwiguza amesema Wizara inaendelea kutekeleza mpango wa mabadiliko wa sekta hiyo ambapo licha ya kazi ya uboreshaji wa kosaafu inayoendelea, wafugaji wanaendelea kupatiwa elimu kuhusu malisho ya mifugo.

”Wizara inaendelea kuanzisha mashamba darasa ya malisho ya mifugo kwa lengo la kutoa elimu ya kilimo cha malisho na namna ya kuyatunza malisho hayo pamoja na nyanda za malisho ili malisho hayo yaweze kuwasaidia wakati wa kiangazi kikali.”amesema Dkt.Rwiguza

Naye Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Gift Msuya amesema kuwa wataenda kusimamia utekelezaji wa mpango wa mabadiliko wa sekta ya mifugo kwa kuhakikisha madume hayo yaliyogawiwa kwenye vikundi yanatunzwa na kutumika ili kuboresha kosaafu.

Awali Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji na Maendeleo ya Masoko kutoka Sekta ya Mifugo, Bw. Stephen Michael amesema kuwa takribani asilimia 97 ya ng’ombe waliopo nchini ni wa asili hivyo katika kutekeleza mpango wa mabadiliko wa sekta, Wizara imepanga kununua mitamba 1,160,000 ambayo itapelekwa kwenye mashamba ya serikali.

Hata huvyo amesema kuwa  kutokana na uzalishaji wake wafugaji wataweza kupata ng’ombe bora hapa nchini badala ya kutegemea kuagiza kutoka nje.

”Wizara inaendelea na zoezi la uhimilishaji mifugo ambapo tayari imeshapanga kuhimilisha takribani ng’ombe 373,000 katika mwaka wa fedha 2022/2023 kwenye maeneo ambayo hawatapata madume hayo.”amesema 

Mwakilishi wa taasisi ya PASS Trust, Langelika Kalebi amesema kuwa taasisi hiyo ni mwezeshaji ikichochea maendeleo kwenye kilimo (mifugo, uvuvi, mazao, na mazao ya porini).

”Taasisi hiyo ipo nchi nzima ikichochea maendeleo kwenye upatikanaji wa mitaji na elimu, hivyo wanaongezea dhamana katika kurahisisha upatikanaji wa mitaji kwa mtu mmoja, vikundi, vyama vya ushirika.”amesema

Naye mwenyekiti wa wafugaji Wilaya ya Chamwino, Bw. John Kochocho ameishukuru serikali kupitia Sekta ya Mifugo kwa kuwapelekea wafugaji madume hayo ya ng’ombe yatakayokwenda kuboresha kosaafu na hivyo kuwafanya wazalishe kwa tija na kibiashara.

Serikali ya awamu ya sita ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imefanikiwa kununua jumla ya madume bora ya ng’ombe wa nyama 366 aina ya Boran kama sehemu ya jitihada za kuendelea kuboresha tija ya ng’ombe tulionao nchini.

About the author

Alex Sonna