Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Ali Khamis Juma kuwa   Katibu Mkuu wa Wizara ra Biashara Viwanda na Masoko, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla ya uteuzi  alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu  Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Ndg.Ali Khamis Juma, baada ya kumuapisha kuwa  Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla ya uteuzi  alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu  Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuangalia Ndg.Ali Khamis Juma,akitia saini hati ya kiapo baada ya kumuapisha  kuwa   Katibu Mkuu wa Wizara ra Biashara Viwanda na Masoko,ambapo kabla ya uteuzi  alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu  Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu

Previous articleRC SENDIGA: JAMII YA RUKWA IMENUFAIKA NA MRADI WA LISHE ENDELEVU
Next articleDK.ISAKA ATAKA WATAFITI KUTOA MATOKEO YA TAFITI ZAO KWA JAMII

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here