Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA KUFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje kabla ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar

Viongozi pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha Tanzania katika nchi za Nje wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Zanzibar

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje mara baada ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar 

About the author

mzalendoeditor